Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Barua Nzito Ya Shabiki Wa Simba Kwenda Kwa Yanga
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Barua Nzito Ya Shabiki Wa Simba Kwenda Kwa Yanga

    MhaririBy MhaririFebruary 25, 20245 Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Baada ya mchezo wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad kukamilika kwa wananchi kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza nilipokea simu kutoka kwa mdau wa Kijiweni ambaye mara nyingi huwa anafuatilia sana machapisho yetu katika tovuti yetu akipata taarifa hizi zaidi kutoka WhatsApp Channel ya Kijiweni.

    Alinipigia simu na kusema kuwa ana barua yake ambayo anatamani iwafikie wengi haswa watu wa michezo kutoka hapa ndani nan je ya Tanzania nikamuambia anitumie ambapo baada ya kuituma nikaona niilete kwenu muisome na mniambie ujumbe umefika?

    Barua yenyewe ilikuja ikiwa na kichwa cha habari “Simba imeridhika na kuhadaika na historia, Yanga ikiwa na kiu ya mafanikio na kutengeneza historia” na ikaanza kwa kusema,

     

    Kwako Mhariri Kijiweni,

    Kwanza hongereni timu ya wananchi.

    Hakika mmeonyesha kile ambacho mashabiki zenu walikuwa wanakitegemea na kazi bora ya viongozi chini ya Rais wa klabu yenu Injinia Hersi Said.

    Naomba niwaambie kuwa tofauti yenu na Simba kwasasa ni kubwa na hilo halina ubishi kabisa kwani mmekuwa ni timu ya kiushindani, kujituma, kujitoa, kucheza kitimu pamoja na nidhamu ya wachezaji.

    Kwa miaka ya hivi karibuni mmeshaweka alama yenu kwenye mashindano ya Africa kuanzia kombe la shirikisho ambalo mlifika hadi hatua ya fainali na sasa mpo klabu bingwa mkitinga kwa kishindo hatua yar obo fainali  hakika mmeliheshimisha soka letu na mnauwezo wa kupambana na timu yoyote Afrika kwa ubora mlio nao sasa.

    Sisi Simba bado tunaamini ni timu kubwa kwa nadharia ila kivitendo kwa sasa hamna kitu, wachezaji wazito kama hakuna kocha wa viungo, wavivu na wapo ambao ni wachoyo ambao wanatuonesha kuwa wanataka kujipambania rekodi zao na sio za klabu kwa ujumla.

    Hongereni naona mkifika mbali kwa hali mliyokuwa nayo ya mafanikio. 

     

    Bila shaka umeisoma na umeielewa barua hii ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili kabisa na inayoeleweka. Maoni yako ni yapi? Unadhani kipi kinawafanya Yanga wanaendelea kutamba?

     

    SOMA ZAIDI: Yanga Mmeniziba Mdomo, Mpira Ni Uwekezaji Sio Uchawi

    benchikha simba yanga

    5 Comments

    1. Pingback: Bila Simba Imara Soka La Kimataifa Tungelisikia Kwa Wenzetu Tu - Kijiweni

    2. Pingback: Sio Kwa Ubaya, Mjadala Wa Chama Na Pacome Hauna Tija Kwetu - Kijiweni

    3. Pingback: Barua Kwako Feisal “FEITOTO” Kutoka Kwa Shabiki Wako - Kijiweni

    4. Pingback: Ahmed Ally Uko Sahihi Ila Wakati Uliotoa Kauli Yako Sio Sahihi - Kijiweni

    5. Pingback: Barua Kwa Wachezaji Wa Simba Kuelekea Mchezo Na Jwaneng - Kijiweni

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.