Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Arsenal vs Liverpool Tunabeti Hivi
    Biriani la Ulaya

    Arsenal vs Liverpool Tunabeti Hivi

    MhaririBy MhaririFebruary 4, 2024No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Arsenal vs Liverpool
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Moja kati ya mechi kubwa hii leo ligi kuu ya Uingereza ni mchezo utakaowakutanisha Arsenal dhidi ya Liverpool katika dimba la Emirates ambao ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Arsenal.Washika mitutu wa London wanaingia katika mchezo huu wakiwa nafasi ya 3 na alama zao 46 katika michezo 22 waliyoshinda mpaka sasa wakiwa nyuma kwa alama 5 kutoka kwa vinara wa ligi Liverpool.

    Liverpool chini ya Jurgen Klopp wanaingia katika mchezo huu wakiwa na michezo 11 bila kupoteza katika michuano yote waliyoshiriki wakipata ushindi katika michezo 8 na kupata sare 3.

    TAKWIMU

    Huu ni mchezo muhimu zaidi kwa timu zote 2 kwani Arsenal anataka kupunguza gape la point huku Liverpool yeye akitaka kuongeza alama zaidi aendelee kujikita kileleni.

    • Katika michezo takribani 241, Liverpool anaongoza kwa ushindi dhidi ya Arsenal akishinda michezo 95 na kuwa mbabe zaidi kwa Arsenal aliyeshinda michezo 82 huku michezo 64 ikienda sare.
    • Mchezo wa mwisho kukutana ulikua mchezo wa FA ambao Liverpool waishinda mabao 2:0 na kumtoa katika michuano hiyo.
    • Kati ya michezo 7 ya mwisho katika uwanja wa nyumbani Arsenal kashinda michezo 6 na kupoteza mmoja dhidi ya Westham mwishoni mwa mwaka jana.
    • Liverpool wanaingiakatika mchezo huu wakiwa na rekodi ya kushinda michezo 4 mfululizo ya ligi akiwa ugenini huku wakiwa hawajafungwa katika michezo 7 wakishinda 4 na kupata sare 3.

     

    TUNABETIJE?

    1. Liverpool anashinda
    2. Kutakua na magoli zaidi ya 3 (Total Goals Over 2.5)
    3. Kutakua na kufungana (Both Team to Score-YES)

     

    SOMA ZAIDI: Nini maana ya player specials katika betting?

    arsenal vs liverpool
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.