Baada ya mechi 2 za robo fainali hapo jana ambapo Nigeria na DR Congo zilifuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la mataifa barani Afrika, hii leo tunawatazama Mali wakimenyana na wenyeji wa mashindano ambao ni timu ya taifa ya Ivory Coast ambapo mshindi wa hapa anakutana na Watoto wa Lubumbashi DR Congo.
TAKWIMU
Timu zote 2 mara ya mwisho kukutana ilikua ni AFCON ya mwaka 2019 ambapo Ivory Coast walishinda bao 1:0 na hii leo Mali atakutana na changamoto kubwa ya mashabiki soka vichaa wa Ivory Coast katika dimba la Bouake.
- Mali wameshinda mara 1 dhidi ya Ivory Coast wakipata sare 2 na kupoteza mara 2 katika mechi 5 za mwisho kukutana baina yao.
- Katika mechi 11 za mwisho za mashindano yote, Mali hawajafungwa huku wakipata ushindi mara 8.
- Ukiachilia mbali kuwa na wachezaji wengi wenye vipaji lakini Mali hawajawahi kushinda ubingwa wa AFCON ingawa waliwahi kumaliza nafasi ya 3 na nafasi ya 4.
- Ivory Coast wamewahi kuwa mabingwa wa AFCON mara 2 ambapo ilikua mwaka 1992 na mwaka 2015 huku mwaka 2006 wakiwa wa 2.
- Mali wameshinda mara 3 na kusare mara 2 katika mechi zao 5 za mwisho huku Ivory Coast wao wameshinda mara 3 na kupoteza mara 2 katika mechi zao 5 za mwisho.
TUNABETIJE?
Kumekua na matukio mengi ya kushangaza katika michuano hii lakini kutokana na kiwango walichokionesha Ivory Coast katika mchezo wa mwisho ni wazi wanataka kurudisha heshima nyumbani kwani wao ndio waandaaji wa michuano hii.
Utabiri Kutoka Kijiweni uko hivi:
- Ivory Coast anashinda mchezo huu
- Magoli zaidi ya 2 katika mchezo (Total Goals Over 2)
- Ivory Coast kuwa wa kwanza kufunga goli.
- Mali kupata goli ( Mali Goals Over 0.5)
SOMA ZAIDI: Mkeka wa leo Jumamosi Odds 100




4 Comments
Pingback: Cape Verde vs South Africa Ukibetia Hivi Ni Uhakika - Kijiweni
Về dịch vụ CSKH, 888slot app theo đuổi tôn chỉ “Ưu tiên trải nghiệm khách hàng”, từ đó đảm bảo mang tới cho bạn những giây phút giải trí có 1-0-2. Chuyên viên tư vấn tại nhà cái chúng tôi luôn được đào tạo bài bản, sẵn sàng phục vụ hội viên mọi lúc mọi nơi. TONY12-24
888slot com link cam kết minh bạch 100% trong mọi ván cược. Hệ thống RNG được kiểm định quốc tế, đảm bảo công bằng tuyệt đối cho người chơi. TONY12-30
**mitolyn reviews**
Mitolyn is a carefully developed, plant-based formula created to help support metabolic efficiency and encourage healthy, lasting weight management.