Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Wolves vs Man Utd Tunausuka Hivi Ubashiri
    Chuo cha Kubeti

    Wolves vs Man Utd Tunausuka Hivi Ubashiri

    MhaririBy MhaririFebruary 1, 2024No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Wolves vs Man Utd
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Baada ya kuona kile ambacho wamekutana nacho Chelsea katika dimba la Anfield hii leo ligi kuu ya Uingereza inaendelea ambapo Wolves anamkaribisha Man Utd katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza katika uwanja wa Molineux.

    Wolves anaingia katika mchezo huu akitoka kumfunga mpinzani wake mkuu West Brom mabao 2:0 katika mchezo wa raundi ya nne ya kombe la FA huku Man Utd wao wametoka kumfunga Newport mabao 4:2 katika michuano hiyo hiyo ya AFCON.

    TAKWIMU

    Wolves ambae ndio mwenyeji wa mchezo anaingia katika mechi hii akiwa nafasi ya 11 katika mechi 21 amekusanya alama 29 wakati Man Utd anaingia katika mchezo huu akiwa nafasi ya 9 na pointi 32 katika mechi 21 ambazo amecheza mpaka sasa.

    • Toka mwaka 2010 mpaka 2023 katika mechi 10 za ligi kuu ambazo wamekutana kumekua na ufinyu wa magoli ambapo hayajawahi kuzidi manne katika mechi 1 huku katika mechi za mashindano yote karibia mechi 112 Man Utd ameshinda mechi 55 huku Wolves wakishinda mechi 37.
    • Mechi yao ya mwisho kukutana Man Utd alishinda kwa 1:0
    • Wolves wako katika kiwango bora sana kwa sasa kwani hawajafungwa mechi 9 nyumbani toka mwaka jana mwezi wa 9 wakishinda 6 na kusare 3.
    • Manchester ameshinda katika kipindi cha kwanza katika mechi 3 pekee kati ya 21 alizocheza msimu huu.

     

    TUNABETIJE?

    Mechi za katikati ya wiki mara nyingi huwa na matokeo ya kushangaza kama ambavyo imekua katika AFCON. Ni wazi sasa ni muhimu kufuatilia takwimu zaidi na kuweka ubashiri katika masoko ambayo ni rahisi zaidi.

    1. Kwa wale wa magoli tunaweza kuamua kuchagua haya

    1st Half Under 3.5,

    Total Goals on The Match Under 4.5

    1. Kuna uwezekano wa kufungana hivyo Both teams to score YES.

     

    SOMA ZAIDI:Ligi Za Kuziepuka Wakati Wa Betting

    Man Utd wolves
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.