Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Marefa wa 5 Wanawake Watakochezesha AFCON 2023
    Africa | CAF

    Marefa wa 5 Wanawake Watakochezesha AFCON 2023

    MhaririBy MhaririJanuary 3, 2024No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Refa wa kike atakaechezesha AFCON 2023
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Ni takribani wiki kadhaa zimebakia  kabla michuano ya mataifa barani Afrika  haijaanza kutimua vumbi nchini Ivory Coast na tayari baadhi ya nchi zimekwishataja vikosi vyake vitakavyowakilsha nchi huko Ivory Coast. Kati ya marefa 68 waliotajwa na CAF kwa ajili ya michuano hii watano ni waamuzi wanawake.

    Muamuzi mzaliwa wa Rwanda, Salima Rhadia Mukansanga, aliweka historia alipokuwa mwanamke wa kwanza kusimamia mechi katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon.

    Kabla ya hayo, mnamo Januari 10, 2022, Mukansanga aliandikisha historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa miongoni mwa waamuzi wa mechi ngarambe za AFCON wakati alipoteuliwa kuwa msaidizi wa refa wa nne katika mchezo kati ya Guinea na Malawi huko Bafoussam.

    Salima alikabidhiwa jukumu hilo na kuongoza mechi ya hatua ya makundi kati ya Zimbabwe na Guinea, ambapo alisaidiwa na marefa wengine wa kike, Carine Atemzabong (Cameroon), Fatiha Jermoumi (Morocco) na refa wa VAR Bouchra Karboubi (Morocco).

    Bouchra Karboubi kutoka Morocco ambaye pia aliweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza katika ulimwengu wa Kiarabu kusimamia fainali ya soka ya wanaume. nchini Morocco, naye ndio refa pekee wa kike atakayechezesha mechi kwenye Afcon.

    Bouchra Karboubi aliweka historia hiyo kwenye mechi ya fainali nchini Morocco mnamo 2022 kati AS FAR na Moghreb Atletico de Tetouan.

    Aidha, wakati wa mechi ya fainali ya Afcon, kati ya Senegal na Misri, Karboubi alishiriki katika fainali hiyo kama muamuzi wa video (Msaidizi wa VAR).

    Muamuzi huyo raia wa Morocco ambaye pia ni afisa wa polisi, alishiriki Kombe la Dunia la Wanawake 2023 kama refa mkuu pia.

    Marefa wengine waliochaguliwa ni Diana Chicotesha wa Zambia, Rivet Maria Pakuita Cinquela wa Mauritius na Akhona Zennith Makalima wa Afrika Kusini.

    Endelea kusoma zaidi kuhusu makala za AFCON na vidokezo mbalimbali kwa kugusa hapa.

     

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.