Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Ipi Tofauti Kati Ya Over 1.5 Na Over 2 Kwenye Mkeka?
    Chuo cha Kubeti

    Ipi Tofauti Kati Ya Over 1.5 Na Over 2 Kwenye Mkeka?

    MhaririBy MhaririDecember 22, 20231 Comment2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Betting Slip
    Wakati wa kuandaa mkeka mara nyingi baadhi ya watu hushindwa kuelewa kati ya Over 1.5 na Over 2 na hujikuta wakiweka ubashiri bila ya kuelewa wanachagua kitu gani na ni muhimu sana kujua kuwa wakati wa kuandaa mkeka unatakiwa usikurupuke na kuandaa mkeka wako vyema zaidi. Leo tutazame tofauti kubwa iliyopo katika mkeka haswa katika odds za Over 1.5 na Over 2 na kwanini ni muhimu kuzingatia zaidi kabla ya kuweka mkeka wako.
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Wakati wa kuandaa mkeka mara nyingi baadhi ya watu hushindwa kuelewa kati ya Over 1.5 na Over 2 na hujikuta wakiweka ubashiri bila ya kuelewa wanachagua kitu gani na ni muhimu sana kujua kuwa wakati wa kuandaa mkeka unatakiwa usikurupuke na kuandaa mkeka wako vyema zaidi.

    Leo tutazame tofauti kubwa iliyopo katika mkeka haswa katika odds za Over 1.5 na Over 2 na kwanini ni muhimu kuzingatia zaidi kabla ya kuweka mkeka wako.

    Over 1.5 Katika Mkeka

    Katika uchaguzi wa option hii wakati wa kuweka ubashiri ni vyema kufahamu kuwa ili ushinde mkeka wako ulioweka kupitia kampuni unayotumia kubashiri inapaswa ulichobetia kiwe na magoli kuanzia mawili katika mchezo husika. Mfano mechi ikiisha 1:1 au 2:0 au 0:2 basi umeshinda kwakua mchezo husika umetoka na goli zaidi ya 1 yaani magoli mawili. Kiasi cha kushinda inategemea na dau ambalo umeweka katika mkeka wako.

    Over 2 Katika Mkeka

    Kwenye kuandaa mkeka ambao utakua na option ya Over 2 ni kwamba unatakiwa kufahamu kuwa ili uweze kushinda mkeka wako inapaswa mechi uliyowekea dau lako iwe na magoli zaidi ya mawili na ikitokea kuwa yameishia magoli mawili basi mkeka wako utakua haujashinda na kiasi chako ulichowekea mkeka kitarudishwa katika akaunti yako ila ikitokea limepatikana goli moja basi mkeka wako umechanika lakini pia ikitokea yamepatikana magoli matatu basi utakua umeshinda. Mfano ikiwa 3:0 Umeshinda , ikiwa 2:0 pesa zako zitarudishwa katika akaunti yako ikitokea 1:0 mkeka utakua umechanika.

    Endelea kujifunza zaidi kuhusu masuala ya UBASHIRI katika michezo mbalimbali kwa kusoma hapa.

     

     

    mkeka wa leo

    1 Comment

    1. Pingback: Mkeka wa AFCON 2023 Wenye Odds 90 - Kijiweni

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.