Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Mkeka Wa Leo Jumamosi 07/02/2026 | Mechi Za Over 1.5 Pekee

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (02)

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (01)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Amahl Pelegrino Kukipiga AFCON Na Taifa Stars
    Africa | CAF

    Amahl Pelegrino Kukipiga AFCON Na Taifa Stars

    MhaririBy MhaririDecember 22, 20231 Comment2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Amahl Pellegrino
    Amahl Pellegrino anayekipiga Bodo/Glimt ni miongoni mua wachezaji 53 walioitwa na Kocha Adel Amrouche katika kikosi cha awali cha timu ya Taifa , Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) yatakayofanyika nchini Ivory Coast Januari 2024.
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Norway ‘Eliteserien’, Amahl Pellegrino anayekipiga Bodo/Glimt ni miongoni mwa wachezaji 53 walioitwa na Kocha Adel Amrouche katika kikosi cha awali cha timu ya Taifa, Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) yatakayofanyika nchini Ivory Coast Januari 2024.

    Pellegrini (33), aliyezaliwa na kukulia Norway msimu uliopita nyota huyo mwenye asili ya Zanzibar aliekuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Norway baada ya kumaliza akiwa na mabao 24 ambayo yaliiwezesha time yeke kuchukua ubingwa wa ligi. Mbali na Pellegrino majina mengine Mapya kwenye kikosi cha awali ni pamoja na Zion (Aldershot Town) na Roberto (Forfar Athletic).

    Hatua ya mwisho ya kutaja kikosi cha wachezaji 30 watakao iwakilisha Tanzania kwenye mashindani ya AFCON mwakani inatazamiwa kuwa hivi karibuni na inaelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa safari hii mastaa wanaocheza nnje ya nchi wakapata nafasi kubwa zaidi ya wale wanaocheza Tanzania haswa kwa wale wanaotoka nnje ya timu kubwa tatu.

    Endapo itakuwa hivyo, hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuhusisha nyota wengi zaidi wanaosakata soka nnje ya ardhi ya Tanzania kuitwa kwenye mashindano. Hata hivyo, jambo hili linafaa kutekelezwa kwa umakini ili kuzuia hali ya sintofahamu ya kujihisi kubaguliwa kwa wachezaji walioitumikia Taifa stars kwenye harakati za kuwania nafasi hii.

    Wachezaji wengine waliochaguliwa katika kikosi cha awali cha Tanzania ni hawa hapa.

    1 Comment

    1. mitolyn on January 28, 2026 7:45 am

      **mitolyn**

      Mitolyn is a carefully developed, plant-based formula created to help support metabolic efficiency and encourage healthy, lasting weight management.

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Chuo cha Kubeti February 7, 2026

    Mkeka Wa Leo Jumamosi 07/02/2026 | Mechi Za Over 1.5 Pekee

    Huu ni mkeka wa leo ambapo ni siku ya maamuzi kwa wapenzi wa ubashiri! 🔥…

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (02)

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (01)

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.