Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » WYDAD Dhidi Ya SIMBA Kupigwa Hapa
    Africa | CAF

    WYDAD Dhidi Ya SIMBA Kupigwa Hapa

    MhaririBy MhaririDecember 9, 2023No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Marakesh Stadium
    Uwanja wa Marakesh utakaochzwa mchezo wa Wydad dhidi ya Simba klabu bingwa barani Afrika.
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Stade de Marrakech ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Marrakech, Morocco. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua takribani watazamaji 45,240 na unatumika hasa kwa michezo ya mpira wa miguu.

    Ujenzi wa uwanja huu ulikamilika mwaka 2011 kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la FIFA. Uwanja huu ulikuwa moja ya viwanja vilivyotumika kama uwanja wa michezo wakati wa Kombe la Dunia la FIFA kwa Vilabu mwaka 2013 na ni moja ya viwanja vya kisasa zaidi nchini Morocco. Ina viti vyote vya kisasa kwa watazamaji lakini pia nae neo zuri kwa vyombo vya habari , ikitoa uzoefu mzuri kwa watazamaji na waandishi wa habari.

    Licha ya kutumika na vilabu lakini pia timu ya taifa ya Morocco imekua mwenyeji wa mechi za kimataifa katika dimba hili ambapo wameweza kucheza mechi za kimataifa mbalimbali.

    Mbali na mpira wa miguu, uwanja huu pia hutumiwa kwa matukio mengine ya michezo kama mechi za rugby na tamasha la muziki ambapo pia ndani ya uwanja huu kuna vituo vya chakula na vinywaji, pamoja na maduka ya kuuza bidhaa za michezo.

    Hii leo klabu ya Simba watautumia uwanja huu kucheza na Wydad Casablanca mchezo wa klabu bingwa barani Afrika hatua ya makundi. Mchezo ambao mashabiki wengi wa soka Tanzania wanasubiri kuona utakua mchezo wa aina gani na mulekeo wa kundi utakuwaje kufuzu robo fainali ambapo mpaka sasa Wydad hana alama yoyote huku klabu ya Simba wakiwa na alama 2 anayeongoza kundi ni ASEC  uakiwa na alama 4 akifuatiwa na Jwaneng mwenye alama 4 naye katika kundi hilo.

    Wydad Casablanca ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo Casablanca, Morocco. Ilianzishwa mnamo mwaka 1937 na imechukua jukumu kubwa katika soka nchini Morocco ikiwa ni moja wapo ya vilabu maarufu nchini humo na pia katika bara la Afrika.

    Kwa habari zaidi za michezo ya ligi ya mabingwa barani Afrika pamoja na ulaya  unaweza kusoma hapa.

    CAF CHAMPIONS LEAGUE SIMBA SC Wydad Athletic Club
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.