Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » HAKUNA MAAJABU KUTOKA KWA BENCHIKA KAMA MAAJABU HAYATOTOKA KWENYE VIBUNDA KUSAJILI WACHEZAJI WAKUBWA.- FARHAN KIHAMU
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    HAKUNA MAAJABU KUTOKA KWA BENCHIKA KAMA MAAJABU HAYATOTOKA KWENYE VIBUNDA KUSAJILI WACHEZAJI WAKUBWA.- FARHAN KIHAMU

    MhaririBy MhaririNovember 29, 2023No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Kocha  Mkuu mpya Benchika ni sababu moja tu kati ya zile 10 za Simba Sports, Ni Kocha mkubwa ambaye ambaye amefanya makubwa sana ila Simba narudia kwa misimu zaidi ya minne haijawahi kuwa na shida ya Makocha, always inaleta Makocha wakubwa tena wenye CV kubwa sana, lakini kuna sababu nyingine nyingi hazijawekwa sawa ili Mwalimu afanye makubwa.

     Mchukue Benchika na alipopita kote anza tu na USMA pale je una wachezaji wenye profile kama wale? Mchukue tu Benchika mtazame alipokuwa RS Berkane alikuwa na squad gani na watu gani kikosini je una watu kama wale ama profile angalau ya kufanana? Simba imetoka kwa Robertinho ambaye alikuwa Muumini wa soka la Vijana pale Vipers maana yake alikuwa anaidai timu msingi mzuri wa soka la Vijana na angechukua Wahitimu kadhaa wazuri kuchanganya na wazoefu ili timu iondoke, haikuwezekana akastuck kwenye mfumo uliopo ambao umemfelisha ijapo kwangu hakufeli alifelishwa.

    Sasa timu ipo kwa BENCHIKA, mapema hii kabla bahari haijakorogeka, anzeni kuweka sawa na mambo mengine! Wachezaji wapya wa kuongezeka ukubwa wa kikosi kuendana na mbinu zake pia Rotation, kabla ya kuanza kelele za Fitness njia ya asili ya Mchezaji kuwa fit ni kugawana dakika! Mmeona Jude Bellingham ameumia? Mmeona Vini ameumia? Unaweza kuwa na Fitness Coach wa viwango na kila kitu ila kama hakuna Rotation kwa baadhi ya Wachezaji wakitumika sana ni eidha majeraha ama wachoke na wasikupe kile unachotarajia! TAFADHALI TUMIENI VYEMA DIRISHA LA USAJILI HILI.

    Abdelhak Benchikha benchikha simba CAF CHAMPIONS LEAGUE SIMBA SC JWANENG GALAXY VS SIMBA
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.