Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    ZAINABU ( 01)

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 16/03/2026 Wa Magoli OVER 1.5

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (09)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Rais Samia Aongeza ‘Mpunga’..! Kila Goli Milioni 20 kwa Yanga
    Stori Mpya

    Rais Samia Aongeza ‘Mpunga’..! Kila Goli Milioni 20 kwa Yanga

    David MohamedBy David MohamedMay 18, 2023No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Sh20 milioni kwa kila bao la ushindi kwa timu ya Yanga ambayo imetinga fainali za kombe la Shirikisho jana Jumatano Mei 18, 2023.

     

    Katika hatua ya nusu fainali Rais Samia aliahidi kutoa Sh10 milioni kwa kila bao kwa timu hiyo na ilibeba Sh40 milioni ikimfunga Marumo Gallants nje, ndani mabao 4-1.

     

    Rais Samia ametoa ahadi hiyo akizungumza leo katika shughuli iliyoandaliwa na Azam Media ambapo ameweka wazi utaratibu umebadilika na sasa atatoa feda kwa mechi ya ushindi na kuongeza kuwa atatoa ndege kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu msimu huu kwenda Algeria kucheza mechi ya marudiano fainali dhidi ya USM Alger Juni 3 baada ya kuanza kucheza nyumbani uwanja wa Mkapa Mei 28.

     

    “Tunapokwenda kwenye fainali ni Sh20 milioni timu ikitoka na ushindi, hii itatoka na ushindi sio watoke 2-1, ila zaidi ya hapo Serikali itatoa ndege kwenda Algeria,”

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views
    Ligi Kuu ya NBC

    RATIBA YA LIGI KUU YA NBC MSIMU WA 2025/2026

    August 29, 202513K Views
    Don't Miss
    Hadithi March 23, 2026

    ZAINABU ( 01)

    NAITWA ZAINABU ALIYU! Hii ni Hadithi ya Maisha yangu…..!!  Mimi ni Mtoto wa kwanza kati…

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 16/03/2026 Wa Magoli OVER 1.5

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (09)

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

    Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua SEASON 2 (08)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.