Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Yanga SC vs Monastir Pointi tatu kwa Yanga zimewapeleka mpaka kileleni
    Africa | CAF

    Yanga SC vs Monastir Pointi tatu kwa Yanga zimewapeleka mpaka kileleni

    Brenda UlomiBy Brenda UlomiMarch 20, 2023No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Yanga SC wamecheza hii mechi kwa hesabu kubwa sana , katika vipindi vyote viwili wameonesha sura mbili tofauti : Jinsi gani ya kutawala mchezo na kushambulia na pia jinsi gani ya kuzuia na kufunga duka vizuri

    Viungo watatu wa kati SureBoy Aucho na Bangala kipindi cha kwanza walitawala sana mchezo , Bangala kwenye namba 6 wakati Aucho na Sureboy walisogea juu kama namba 8 wawili kazi yao kubwa ku connect na mawinga mawili ili kucheza mipira nyuma ya fullbacks wa Monastir

    Musonda na Moloko .. movements zao zilikuwa za aina mbili : Kupita nyuma ya fullbacks wa Monastir kama Djuma na Lomalisa hawajapanda na pia mara nyingine kushambulia katikati ya fullbacks na centrebacks wa Monastir kama Djuma na Lomalisa wamefanya overlaps

    Wakati huo huo Aucho na Sureboy kazi yao ni kupokea zile rebounds ili kurejesha mashambulizi tena ( Sustain attacks )

    Nafikiri Monstair ni kama walikuja kwa ajili ya sare , kipindi cha kwanza walikaa nyuma sana wakisubiri counter attacks ambazo zilishindikana kwasababu ya shape ya ulinzi ya Yanga ilikuwa nzuri pale walipokuwa na mpira ( rest defense )

    Kipindi cha pili Yanga SC waliamua ku manage mechi tu , kuwaacha Monastir wakae na mpira wakiwa nyuma lakini wakivuka tu mstari wa kati Yanga wanapora haraka mpira na kuanzisha counter attacks kwa kutumia kasi ya Moloko Musonda na Mayele na pengine kama kungekuwa na ukatili zaidi basi ni zaidi ya 2-0 , Jinsi Musonda na Moloko walivyokuwa wanafanya uwanja kuwa mpana , kuwalazimisha mafullback wa Monastir kukabia pembeni zaidi na kufungua njia za pasi kwenda kwa Mayele .

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.