Vilabu vya Ligi Kuu England vimetumia fedha nyingi kuliko wakati wowote ule kwenye dirisha moja la usajili, baada ya matumizi ya dirisha hili la kiangazi lililofungwa…
Kiungo wa kati wa RB Leipzig, Dominik Szoboszlai, amewasili Merseyside tayari kwa uchunguzi wa matibabu baada ya Liverpool kuzindua kifungu cha kumwachilia cha pauni milioni 60…