Vilabu vya Ligi Kuu England vimetumia fedha nyingi kuliko wakati wowote ule kwenye dirisha moja la usajili, baada ya matumizi ya dirisha hili la kiangazi lililofungwa…
Arsenal wapo karibu kukubaliana na West Ham kuhusu ada ya Declan Rice na inatarajiwa watatoa zaidi ya pauni milioni 100 kwa kiungo huyo ikiwa malipo ya…