Browsing: riwaya

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 02 Walibana pumzi zao vizuri, walianza kuisikia sauti ya Mwanamke. Sauti  iliyowauliza  “Mko wapi?” ilikua ni ile sauti ya ajabu ya…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 01  Hapakua na sauti yoyote iliyosikika, hapakua na Ndege wala wadudu waliopiga  kelele. Ghafla Zahoro alisimama, akatoa ishara kwa Anna kusimama…

Mvua kubwa ilikua ikinyesha, baridi Kali lilikua limekivamia Kijiji Cha Nzena.  Giza nalo tayari lilikua limeshatua, palikua Kimya. Pazia la chumbani kwa Zahoro lilifunuliwa, Mzee Miroshi…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya nne Wakiwa wanaendelea kujibizana, walianza kusikia sauti ya Bi. Lugumi ikisema  “Kufaaaaa‼ kufaaaa‼” kila aliyeisikia sauti hii alianza kutetemeka huku…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya tatu Mke alipoisoma ile karatasi aligeuza macho kumtazama Mume wake kisha kwa  mshangao akamwambia  “Mume wangu unatokwa na Damu puani”…