Browsing: riwaya za kijasusi

Ilipoishia sehemu ya kwanza ya In the name of LOVE “Ndiyo, nilikua napita tu.”  “Kuna harusi”  “Harusi?”  “Ndiyo, vipi umeshtuka Mzee?”  “Nani anaolewa?”  “Mtoto wa Mwenye…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 07 “Unajua nini wewe?” Wakati huo Damu nyingi zilikua zikimtoka Mfalme Selasi,  akamwambia Anna  “Unaenda kutafuta Pete ya Baba Yako, Mimi…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 06  Walipofika shangwe liliibuka kwa Wananchi waliamini kua kumwaga Damu  kutawasaidia Mji wao kuendelea kua na nguvu zaidi. Miongoni mwa Walioletwa …

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 05 Lakini walijua wazi… safari ya kuelekea Patiosa haikuwa tena ya kutafuta msaada.  Ilikuwa safari ya maisha au kifo. Kutupwa kwa…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 04 “Nina amini, Mji wa Patiosa una majibu ya maswali mengi. Siri nyingi  zitafunguka” alisema akimtazama Anna ambaye alianza kuonesha Mashaka…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 03 “Kumwambia Ukweli Zahoro kua Adui Kimya ni wewe, kilicho mbele ni kumpata  Binti yetu Moana Kisha kutafuta njia ya kuelekea…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 02 Walibana pumzi zao vizuri, walianza kuisikia sauti ya Mwanamke. Sauti  iliyowauliza  “Mko wapi?” ilikua ni ile sauti ya ajabu ya…

Mvua kubwa ilikua ikinyesha, baridi Kali lilikua limekivamia Kijiji Cha Nzena.  Giza nalo tayari lilikua limeshatua, palikua Kimya. Pazia la chumbani kwa Zahoro lilifunuliwa, Mzee Miroshi…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya saba  Siku iliyofuata, Serikali iliongeza Watu zaidi ili kumsaidia Waziri kazi ya utafiti eneo la  tukio, sio TU wataalam kutokea…

Ilipoishia Nzena (Kijiji Kilicholaaniwa) sehemu ya sita Ghafla, akajikuta ameshika kisu, mikono yake ikiwa imelowa damu. Aliangalia chini— Upendo alikuwa amelala mbele yake, kifua chake kikiwa…