Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: riwaya ya koti jeusi
Yule Msichana wala hakua na hofu, alirudi nyuma ili kumpa nafasi Marcus atoke kwenye kile choo, Bastola ilidondokea kwenye choo kingine kwa chini hivyo hakuna hata…
Ilipoishia ” Walipouvunja mlango walistaajabu sana, macho yaliwatoka kwa Mshangao. Japo walikua Maaskari polisi lakini washika vichwa vyao na wengine walishika viuno vyao, waliona jambo la…
Ilipoishia “Jambo hilo lilimwacha Sofia akiwa mwenye tabasamu sana, kwa namna alivyokua na chuki za wazi kwa Salma asingeliweza kukubali Mali hizo zisimamiwe na Salma ambaye…
Ilipoishia ” Hadi kufikia hapo picha ya Muuwaji ilikua ni Msichana wa chini ya Miaka 30, mweusi, mzuri na aliyevaa Baibui, Daudi alizidi kupagawa, sasa swali…
Ilipoishia Jana ” Haraka Salma alichukua Taxi akarejea nyumbani kwake, alikuta bado ndugu wapo wakimsubiria maana alishapiga simu kua ameachiwa huru. ” Tuendelee Sasa SEHEMU YA NNE…
Ilipoishia jana ” Pili alifikia maamuzi ya kukubali kua Muuaji aliyapanga vizuri Mauaji hayo kwa maana aliweza kufuta picha kadhaa kwenye Mboni ya Mzee Yusuf na…
Ilipoishia jana ” Mkononi Mzee huyo alikua ameshikilia Bastola nyeusi ndogo, hapa Daudi akashindwa kufasili kwa haraka haraka ni kwanini alikua na Bastola ambayo haikuonekana kutumika.…