Browsing: Riwaya Ya Kisasi Changu

NAITWA ZAINABU ALIYU! Hii ni Hadithi ya Maisha yangu…..!!  Mimi ni Mtoto wa kwanza kati ya Watoto wanne, ni Mtoto wa  kike wa pekee katika Familia…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia  Kwanza nilijiuliza ni Nani anayeweza kuja kwetu, kama Mama Amida tayari  tulishazungumza. Nilimeza funda zito la mate Kisha nilitembea taratibu  kuelekea Mlangoni bila hata kutoa…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia  “Saida, wewe ulishakufa baada ya kuokolewa Msituni. Roho Yako iliondoka  Usiku ule ambao ulitoroshwa kule kwenye ile nyumba Msituni. Kuishi  kwako Hadi sasa ni kibali…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia  Niliitazama tena ile Pete huku chozi lilikaribia kunitoka, sikujua ni kwanini  nilipaswa kuivaa ile Pete, ni Mikoba gani ambayo nilipaswa kukabidhiwa?  Nilijiuliza yote huku nafsi…

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia  “Nani ananiita?” niliuliza kwa Ujasiri sana japo kwa ndani nilikua mwoga  lakini sikuruhusu yule Mtu anielewe, nilimkazia macho yangu huku  nikichezesha Mguu mmoja.  “Bosi”  “Bosi?” …

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia  “Ina maana Salehe yupo na ananifuatilia?” nilijiuliza. Nilishagundua pale  hapakua salama kwangu, nikageuka ili niondoke lakini ghafla mlango  ulijifunga wenyewe. Pakawa na kigiza Fulani hivi …

Niliolewa Na Mtu Nisiyemjua

Ilipoishia “Saida, si unaona? Yule siyo Kichaa na ukitaka kuamini jiulize kwanini  alienda kituo Cha Polisi?” aliniuliza Veronica akiwa amenishika bega, mara  alisimama yule Kichaa Kisha…

Ilipoishia sehemu ya tano ya In the name of LOVE Upepo ulikua ukisukuma nywele zake, nilipata shahuku ya kutaka kuongea  naye. Nilielekea mlangoni nikafungua mlango taratibu,…

Ilipoishia Kimya (Nzena-Kijiji Kilicholaaniwa) – 01  Hapakua na sauti yoyote iliyosikika, hapakua na Ndege wala wadudu waliopiga  kelele. Ghafla Zahoro alisimama, akatoa ishara kwa Anna kusimama…