Ilipoishia sehemu ya tisa ya In the name of LOVE “Kumbe haikua inshu kubwa sana Mpenzi, Presha ilipanda kidogo. Ah! Mama yangu naye akalikuza sana” alisema…
Ilipoishia sehemu ya nne ya In the name of LOVE “Basi hakuna shida Zaylisa, mnaweza kuishi wote ikiwa jambo lako la talaka litakamilika” maneno ya Clara…
“Jacob, nataka kuujua Msimamo wako kwangu. Utaniowa lini?” Aliuliza Zaylisa, Nilishusha pumzi zangu. Nikageuka huku na kule kama Kuna Mtu alikua anatusikiliza pale Mgahawani. Nilikua nimevalia…