Sehemu Ya Kwanza
“KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si kweli, lakini wale wanaoyapata hayo mambo wanajua na wewe usiombe yakukute hata siku moja,” ndivyo alivyo anza kusimulia Bw. Humuli Samaki (43), mkazi wa Buguruni (kwa sasa) ambaye alipata mkasa mzito akidai alipanga nyumba moja na majini Magomeni, Dar es Salaam.
“Si zamani sana mkasa huu uliponitokea, ilikuwa mwaka 2009 tu, kwa hiyo naweza kusema ni juzijuzi. Kwa sasa naishi hapa Buguruni, baada ya kuhama kutoka Magomeni ambako nilipata mkasa huo mzito na wa kuogopesha. Nilipanga nyumba moja na majini.”
Awali nilikuwa nikiishi Mwanyamala Mwanjuma, jirani kabisa na Makao Makuu ya Bendi ya TOT, hata Kapteni John Komba nilizoeana naye kwa kuonanaonana pale CCM-Mwinjuma, ingawa jina langu najua hakuwa akilifahamu.
Ile nyumba niliyokuwa nikiishi Mwananyamala iliingia kwenye mgogoro wa mirathi, familia ilifika mahakamani. Hukumu ilipotoka ikaamriwa iuzwe kisha ndugu wagawane fedha.
Kwa maana hiyo, mimi na wapangaji wenzangu watano, tulipewa notisi ya kuhama baada ya mteja kupatikana. Huyu mteja anaitwa Masawe anafanya kazi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lakini sijui ofisi za wapi.
Ilibidi mimi niangalie mwelekeo mwingine, niliamua nibadili upepo, nikaishi Magomeni. Kwa wakati huo nilikuwa sina familia. Sina mke wala mtoto, hata wa kusingiziwa, kwa hiyo nilikuwa naishi peke yangu. Ni mwaka jana ndiyo nimeoa mke wangu huyu.
Rafiki yangu mmoja anaitwa Mohamed Kombe alinipa namba ya dalali kwani yeye anaishi Magomeni hata sasa. Nilimpigia simu dalali wake, anaitwa Yusuf Mwamba, akaniita Magomeni pale kwenye nyumba wanayosema aliwahi kuishi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Nilikwenda mpaka pale, nilimkuta amesimama nje ya nyumba hiyo, tukasalimiana, akaniuliza nataka nyumba yenye sifa gani, nikamweleza.
Akasema nyumba ya aina hiyo ipo moja mitaa ya katikati kama unatokea pale tulipokuwa kuelekea kwa Sheikh Yahya Hussein (marehemu).
Tulikwenda kuiona hiyo nyumba. Wakati tukiwa tunaifikia, nilishangaa kuwaona majirani wakitukodolea macho, sikushangaa nikijua ni mambo ya mjini kitu kidogo tu watu kibao.
Yule dalali alifungua mlango, tukaingia ndani. Tulipita sebuleni, tukaenda kwenye vyumba viwili, tukaelekea jikoni, chooni na kumalizia na bafuni. Ni nyumba iliyojitegemea kwa maana kwamba, ilikuwa na ua wake na mtu akiwa uani hakuna aliyeweza kuona kwa nje. Mlango wa kuingilia ndani ni mmoja tu.
Kulikuwa na vyumba vingine viwili ambavyo toka mwanzo alishaniambia kuna mtu anaishi na mkewe, kimoja wanalala, kingine wamekifanya sebuleni, lakini hawana watoto kama mimi.
Nilijiridhisha kwamba ni pazuri, dalali akaniuliza kuhusu malipo, nikamwambia tuongozane nikachukue fedha Magomeni Mapipa kwenye benki ya Barclays, akasema wakati mimi nakwenda kutoa hizo fedha, yeye anakwenda Dawasco tawi la Magomeni.
Tukiwa tunaelekea Magomeni Mapipa, nilimuuliza wenye vile vyumba wanafanya kazi wapi? Akajibu wafanyabishara, lakini hata yeye hajui ni wapi. Nilimuuliza imekuwaje ana funguo, wale wapangaji wengine wakirudi je, akajibu wana funguo yao na ile yeye alipewa na mwenye nyumba kwa ajili ya kutafutia mpangaji mwingine. Nilikubaliana naye.
Baada ya nusu saa nilitoka benki nikiwa na fedha, nikampigia simu, akasema na yeye alishatoka Dawasco na wakati huo alikuwa anakunywa soda kwenye Hoteli ya Shibam, ipo palepale Mapipa. Nilimfuata pale, nikampa fedha, akatoa mkataba, nikajaza kwani yeye ndiye aliyepewa jukumu lote na mwenye nyumba.
“Kwa hiyo upo huru kwenda kuhamia,” dalali aliniambia huku akinikabidhi funguo.
“Sawa, nitahamia usiku wa leo.”
Nilirudi nyumbani kwa awali na kupangapanga vitu tayari kwa usiku kuhamia makazi mapya, Magomeni. Niliwaambia wapangaji wenzangu wote, nao wakanitakia maisha mema huku wakisema tukumbukane kwani hata wao walikuwa kwenye mchakato wa kuhama kwenye nyumba ile.
Saa mbili usiku nilikuwa juu ya lori tukipeleka mizigo makazi mapya, lakini moyoni nilikuwa na maswali mengi ambayo mpaka leo hii siyakumbuki na yalikosa majibu. Pia, nilijikuta nakosa amani ya moyo na sikujua ni kwa nini!
Nje, nilikuta taa inawaka, ndani pia taa inawaka, lakini si sebuleni bali kwenye korido. Hii iliashiria kwamba, wale wapangaji wenzangu walisharudi kutoka kwenye biashara zao.
Nilishusha vyombo kwa kusaidiwa na wasaidizi wa dereva wa lile lori, lakini nilishangaa sana kuona kila nikiingia na mizigo, wale wapangaji wenzangu wanacheka sana chumbani kwao. Maana yangu ni kwamba, kwa kawaida walitakiwa hata watoke na kunisalimia ili tufahamiane. Tena kwa wengine, mume angetoka na kunisaidia kubeba hata stuli tu.
Mambo yameanza.. Nini Kitaendelea? USIKOSE SEHEMU YA PILI Ila Niambie Hapa Uliwahi Kukutana Na Jambo Gani Kwenye Nyumba za kupanga likakushtua?

111 Comments
Hii ni ya moto sana kalii admin tunaomba muendelezo wa ya pili😝🙌🙌
Ya pili ije hv karibun mn niyamoto
Yatatu imetoka ety make nimeishia yapili
Oyaa tunao lala pekeyetu tuna ruhusiwa kusoma kwanza maana nimeona picha tu nika sita
Oya hivi vitu vya kutisha naomba vije kwa wingi kabisa😆😆
🥰🥰🥰😘 nice story
Ongezen ukali wa kutisha zaid bado sijaogopa mimi
Angewagongea watoke wajuane anaogopa nini ?
Admin hii imebamba jaman tunaomba tena💯💯💯💯
Mi kilichonistua watoto wa mwenye nyumbani wanaomba sana hadi vitunguu
Admini uwe unaipost mchana hii story tafadhar wengine tunalala peke etu👹🤦🙈
Pole 😁
🔥🔥🔥🔥
Nzuri
Faudhia unalalaje peke ako na wakati mm nipo jmn
Dah adimn tunaomba sehem ya 2
Admin hii story mbona kama ni kweli
Ewaaah😋
Hii inanikumbusha mbali sana hata mimi nisha wahi pitia admini ukipata nafasi uniambia nikuambie yangu ya kufanya kazi na majini
We ulifanya kazi na wavuta bangi sio majini hayo bhn
hii kama itatupa kitu cha mageton single boi
Kazi iendeleee DJ
part two
Mambo ni fire 🔥🔥
Duuh
Kumeanza kuchangamka na admin haogopi lolote na yuko live bila chenga
Huna baya admin
Naogopa getto sasa uuwhh!!!!
Ila nyie watu hawa,, Duh🤔🤔🤔
Et “lakini nilishangaa sana kuona kila nikiingia na mizigo, wale wapangaji wenzangu wanacheka sana chumbani kwao.”
Mbn ni Kamzozo
Admn siku ya yanga kuchukua ubingwa utatuuliza kama tumeflai afu uweke LIPA NAMBA we jamaa unajua kujiongeza 🤣
“Ilibidi mimi niangalie mwelekeo mwingine, niliamua nibadili upepo, nikaishi Magomeni. Kwa wakati huo nilikuwa sina familia. Sina mke wala mtoto, hata wa kusingiziwa, kwa hiyo nilikuwa naishi peke yangu. Ni mwaka jana ndiyo nimeoa mke wangu huyu.”
“Kulikuwa na vyumba vingine viwili ambavyo toka mwanzo alishaniambia kuna mtu anaishi na mkewe, kimoja wanalala, kingine wamekifanya sebuleni, lakini hawana watoto kama mimi.”
Hii umejitungia tuu au!!?
Mwanzo hukua na familia mara hawana watoto kama yeye ndio nini sasa?
Soma ulichokiandika kwanza kisha utaelewa tu
Ifakara huku Mlabani tunaifuatilia kinouma yani 🤣🤣🤣🤣
Sehemu yapili hii kalisana
Hiki kichupa haswa
Dooooh
Adimini ua baya ilo getto barah mbona
👏
🥶🥶🥶
Ii imeniunguza sana yani yamoto mno nimeifakamia adimi ssssssssuuuu duu
Duh
Fanya chap iyo sehem ya pili
Hey hua nafuatilia … Hizi ili hii halooo sitaki inipite pls unachelewesha😎😎😎😎
Ebu ngoja kwanza nikae sawa
@admin izi ndo stor sas mpk umekosha moyo wa ku comment achia ya pili basi tulale vzr basi 🥱
@admin hizi ndo riwaya iko safi sanaaaaa achia ya pili tulaleee vizur 🥱
Yes
Mmmh
Kazi nzuri sana
https://je-tall-sf-marketing-59.nyc3.digitaloceanspaces.com/research/je-tall-sf-marketing-(181).html
The complete look was the right match for the couple’s tradition-filled day.
https://je-tal-marketing-962.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(274).html
This hard-to-beat classic fashion is seamless for moms of all
ages to flaunt an beautiful style assertion on their daughter’s D-day.
https://je-tal-marketing-911.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(190).html
A navy cut-out overlay added a cool geometric pattern to
a blush pink skirt.
https://je-tal-marketing-940.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(62).html
The champagne colored ankle-length wrap dress looks beautiful on this mom
of the bride.
https://je-tal-marketing-892.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(479).html
Choose a timeless look, corresponding to a mermaid fishtail robe.
https://fr-accounting-9.blr1.digitaloceanspaces.com/research/Accounting-market-(3785).html
Talk about shade, sample, style, and level of formality so your
dresses really feel harmonious.
https://je-tal-marketing-975.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(178).html
Look for cinched-in jackets that won’t only hide her wobbly bits,
but in addition assist her change her look from day to nighttime.
https://je-tal-marketing-947.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(322).html
Light, sunny, and normally stuffed with flowers, and they typically use pastel colours inspired by springtime blooms.
https://fr-korea-6.ams3.digitaloceanspaces.com/research/beauty-(2597).html
The finest mother of the bride dresses fill you with confidence on the
day and are comfy sufficient to put on all day and into
the evening.
https://je-tal-marketing-943.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(22).html
Consider selecting a glance that may transform from the ceremony to the reception.
https://je-tal-marketing-940.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(168).html
This surprisingly reasonably priced mother-of-the-bride costume is perfect for a formal fall or
winter wedding ceremony.
https://je-tal-marketing-976.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(393).html
But I is not going to select any of the outfits you might have shown.
https://je-tal-marketing-935.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(92).html
When first starting to plan your mother of the bride outfit, look
to the marriage location itself for inspiration.
https://je-tal-marketing-951.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(497).html
This also helps leave time for delivery in case the gown takes longer than anticipated to arrive.
https://fr-world-4.tor1.digitaloceanspaces.com/research/cake-(1923).html
You’ll discover understated A-line clothes and fabulous sheath numbers.
https://je-tal-marketing-886.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(411).html
Discover trendy jumpsuits and attire with complementing jackets, fascinators,
sneakers and accessories to complete your look.
https://je-tal-marketing-967.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(334).html
Thus, again, it pays to assume about how a lot pores and
skin you wish to show and what is most flattering to your
physique.
https://fr-box-6.ams3.digitaloceanspaces.com/research/paris-(2807).html
If you are seeking to splurge on a MOB gown, you may discover loads of glam options here.
https://je-tal-marketing-975.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(215).html
Stick to a small yet stately earring and a cocktail ring, and maintain further sparkle to a
minimum.
https://fr-korea-4.tor1.digitaloceanspaces.com/research/beauty-(1866).html
If you normally like clean, plain clothes, don’t
go over the top with sequins and diamonds.
https://je-tal-marketing-935.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(272).html
Look for materials like breezy chiffon, breathable mesh,
or draping georgette for the final word seashore
wedding ceremony attire.
https://fr-size-8.sgp1.digitaloceanspaces.com/research/%EF%B8%8F-small-(3829).html
This mixture is very great for summer time weddings.
https://je-tal-marketing-983.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(215).html
Thus, you ought to not wear white when you are the mother of the bride or even one thing like
ivory.
https://fr-size-10.syd1.digitaloceanspaces.com/research/%EF%B8%8F-small-(4936).html
Black can additionally be another risky color, however can work completely properly at extra formal weddings.
https://je-tal-marketing-972.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(249).html
As versatile as is elegant, this icy blue
frock is the right transition piece to take you from the ceremony to the reception.
https://filedn.eu/lXvDNJGJo3S0aUrNKUTnNkb/marketing-788/research/je-marketing-(86).html
Looking at summer time mom of the bride attire that are a step away
from the norm?
https://fr-tour-8.sgp1.digitaloceanspaces.com/research/star-(3933).html
You also can coordinate with the MOB to make sure your selections
complement one another.
https://je-tal-marketing-936.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(91).html
When first starting to plan your mom of the bride outfit, look to
the wedding location itself for inspiration.
https://je-tal-marketing-983.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(267).html
For blogger Jenny Bernheim’s fancy rehearsal dinner, her mother
wore a Carmen Marc Valvo costume, complete with a beaded
illusion cut-out.
https://jekyll.s3.us-east-005.backblazeb2.com/20251014-6/research/je-marketing-(450).html
Jovani is a trendy yet simple model that caters to the fashionable woman.
https://je-tal-marketing-903.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(171).html
Carrie Crowell had come throughout the silk costume that her mother, nation singer Rosanne Cash,
wore at her 1995 marriage ceremony to Carrie’s stepfather.
https://je-tal-marketing-926.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(496).html
They are a great place to verify out in case you are in search
of good quality clothes.
https://je-tal-marketing-944.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(361).html
This glamorous robe in heat and wealthy gold complements all skin tones and pairs beautifully with
gold and silver equipment.
https://marketing-research9.atl1.digitaloceanspaces.com/research/research-for-asia-study-(4183).html
And lastly, don’t fear about seeking to solely ‘age-appropriate’ boutiques.
https://fr-korea-1.nyc3.digitaloceanspaces.com/research/beauty-(270).html
Another floral option for you , but this time in a match and flare fashion.
https://filedn.eu/lXvDNJGJo3S0aUrNKUTnNkb/marketing-822/research/je-marketing-(244).html
David’s Bridal provides handy online and in-person shopping experiences.
https://fr-tour5.lon1.digitaloceanspaces.com/research/star-(2061).html
Let the answers to some of our most frequently asked questions information you in the
proper path.
https://fr-tour-2.sfo3.digitaloceanspaces.com/research/star-(727).html
Thus, you shouldn’t wear white if you end up the
mother of the bride or even one thing like ivory.
https://je-tal-marketing-957.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(229).html
It’s necessary to make sure that any head items
don’t swamp your frame, and doesn’t hide your face.
https://je-tal-marketing-948.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(66).html
The high-end retailer sells loads of coveted luxury brands like Monique Lhuillier,
THEIA, Jenny Packham, Badgley Mischka and extra.
https://je-tal-marketing-957.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(140).html
We requested some wedding trend consultants to find out what a
MOB ought to put on on the large day.
https://fr-asia-4.tor1.digitaloceanspaces.com/research/asia-business-(1676).html
If full skirts and punchy prints aren’t your mother’s go-to, attempt an announcement sleeve.
https://je-tal-marketing-942.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(231).html
For her mom, it concerned a beaded silver costume fit for a queen.
https://fr-tour-10.syd1.digitaloceanspaces.com/research/star-(4798).html
Think about the colours you feel finest in and the sorts of outfits that
make you shine.
https://je-tal-marketing-917.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(294).html
We are picturing this fantastically embroidered robe for a
yard or garden marriage ceremony set amongst romantic flowers and rich greenery.
https://je-tal-marketing-981.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(75).html
In basic, you’ll do your greatest to avoid matching
with the bridesmaids or the mothers of the couple getting married.
https://je-tal-marketing-948.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(341).html
Wear it to a backyard celebration with block heels or wedges.
https://je-tal-marketing-926.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(260).html
For a mom, watching your daughter walk down the aisle and
marry the love of her life is an unforgettable moment.
https://fr-world-5.lon1.digitaloceanspaces.com/research/cake-(2158).html
Carrie Crowell had come across the silk costume
that her mother, country singer Rosanne Cash, wore at her 1995 wedding to Carrie’s stepfather.
https://fr-well-5.ams3.digitaloceanspaces.com/research/%EF%B8%8F-france-(2243).html
For her, that included a couture Karen Sabag ball robe
match for a princess.
https://je-tal-marketing-914.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(154).html
For a seashore wedding I would wear one thing a bit more flowy
like the flowery and ruffly dresses above.
https://je-tal-marketing-968.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(34).html
Make a stunning impression in this floral printed ball gown featuring wrap-around ties that highlight your waist and useful hidden pockets.
https://je-tal-marketing-923.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(86).html
This embellishment on this gorgeous gown provides a touch of
magic good for any winter marriage ceremony.
https://je-tal-marketing-902.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(252).html
Looking at summer time mom of the bride dresses which would possibly
be a step away from the norm?
https://filedn.eu/lXvDNJGJo3S0aUrNKUTnNkb/marketing-780/research/je-marketing-(55).html
On the other hand, If you would possibly be curvy or apple-shaped, versatile dress styles like
a-line and empire waist will work wonders for you.
https://je-tal-marketing-975.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(127).html
The capelet costume is ideal if you wish to cover up your upper arms.
https://je-tal-marketing-921.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(340).html
Experiment with strapless types, sudden lengths, or fashionable jumpsuits.
https://je-tal-marketing-928.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(150).html
From the floor-sweeping A-line skirt to the on-trend off-the-shoulder sleeves, there’s a lot to like.
https://jekyll.s3.us-east-005.backblazeb2.com/20251014-3/research/je-marketing-(150).html
The mother of the bride and mom of the groom normally put on completely
completely different gown types and colours.
https://je-tal-marketing-936.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(116).html
This two-piece silhouette fashion flows fantastically over the body and has a v-shaped back opening that
closes with a hid zipper.
https://fr-koera-2.sfo3.digitaloceanspaces.com/research/beauty-(859).html
Much just like the mother of the groom, step-mothers
of each the bride or groom should follow the lead of the mother of
the bride.
https://fr-well-9.blr1.digitaloceanspaces.com/research/%EF%B8%8F-france-(4233).html
Her mom, Rita, opted for this champagne-hued robe that was equally
as ethereal.
https://je-tal-marketing-934.lon1.digitaloceanspaces.com/research/je-marketing-(336).html
Look and really feel truly elegant on this long costume without stealing all the attention from the
bride.