Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Munster vs Bayern Munich Utabiri, Vidokezo vya kubeti
    Chuo cha Kubeti

    Munster vs Bayern Munich Utabiri, Vidokezo vya kubeti

    Brenda UlomiBy Brenda UlomiSeptember 26, 2023No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Bayern Munich wanarudi katika harakati zao za kutafuta taji la DFB-Pokal kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2019-20 wanapocheza dhidi ya Munster katika raundi ya kwanza kwenye Uwanja wa Preussenstadion siku ya Jumanne.

    Mabingwa wa Bundesliga wanarudi baada ya ushindi mkubwa wa 7-0 dhidi ya Bochum katika ligi, na mshambuliaji stadi Harry Kane akifunga mabao matatu.

    Baada ya ushindi wa mechi nne na sare moja katika michezo yao mitano ya mwanzo, Bayern wako tena kileleni mwa ligi na alama 13.

    Kwa upande mwingine, Munster wako katika daraja la tatu la soka la Ujerumani, wakiburuza mkia katika nafasi ya 14 katika 3. Liga na alama nane katika mechi saba.

    Eagles wameshinda mara mbili tu, kwanza walishinda 3-1 dhidi ya Ingolstadt mnamo Agosti 22, kisha wakashinda 2-0 dhidi ya Sandhausen.

    Katika mtanange wao wa hivi karibuni, timu ya Sascha Hildmann ililazimishwa sare ya 1-1 na VfB Lubeck.

    Munster vs Bayern Munich Ushindani na Takwimu muhimu

    Munster na Bayern Munich wanakutana kwa mara ya pili tu katika historia.

    Mnamo Agosti 2014, Bayern Munich walitembelea Munster katika raundi ya kwanza ya DFB-Pokal na kushinda 4-1:

    Thomas Muller, Mario Gotze, David Alaba, na Claudio Pizarro walikuwa wafungaji wa Bavarians siku hiyo.

    Bayern Munich wameshinda mechi na kufunga magoli manne au zaidi katika mechi zao mbili zilizopita: nne dhidi ya Manchester United katika Ligi ya Mabingwa na saba dhidi ya Bochum katika Bundesliga.

    Harry Kane wa Bayern Munich amefunga magoli matano katika mechi zao tatu za hivi karibuni katika mashindano yote.

    Katika mechi saba rasmi msimu huu, Bayern Munich wamepoteza mara moja tu: 3-0 dhidi ya RB Leipzig katika DFL Supercup.

    Bayern Munich hawajapoteza katika raundi ya kwanza ya mashindano ya DFB-Pokal tangu msimu wa 1994-95: Vestenbersgreuth walishinda 1-0 siku hiyo.

    Munster vs Bayern Munich Utabiri

    Kama ilivyokuwa miaka tisa iliyopita, wakati timu hizi zilipokutana mara ya mwisho, Bayern Munich wanabashiriwa kuwa washindi wakubwa tena na kusonga mbele katika kombe.

    Munster vs Bayern Munich Vidokezo vya Kubeti

    Kidokezo 1 – Matokeo: Bayern Munich kushinda

    Kidokezo 2 – Magoli zaidi/chini ya 2.5: Zaidi ya 2.5

    Kidokezo 3 – Timu zote kufunga: Hapana

    Utabiri: Munster 0-3 Bayern Munich

    Pata zaidi: Habari zetu kama hizi hapa

    dfb-pokal kubashiri odds
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.