Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tano
“Ahsante Jirani, ndio ukubwa huu”
“Lakini Veronica unatakiwa kuwa makini sana na Mama yako!”
“Kwanini?”
“Mama yako ana sifa mbaya hapa mtaani, inasemekana yeye na Kaka yake wanashiriki ushirikina”
“Unamaanisha Mama yangu ni Mchawi?” Endelea
SEHEMU YA SITA
“Ndio, mtaa mzima unalijua hilo ndio maana nakutaka uwe makini kujiepusha na uovu dhidi yako, hushamgai jinsi maisha yenu yalivyobadirika?” Ilinibidi nikae mkao, maana tulikuwa tukipiga stori kibarazani kwa yule jirani ambaye ni mdada aliyenizidi umri
Maneno yake yakaanza kuniingia akilini, nilipokumbuka kuhusu lile shuka lenye damu ya bikra yangu ndio nikaanza kuyaamini kabisa yale maneo na jinsi ambavyo Nyumba yetu ilikuwa imekarabatiwa na kuwa nzuri
“Kwahiyo mtaa mzima hizi habari zimeenea?”
“Muulize yeyote atakwambia na kama atakuficha basi ni kwa woga tu lakini ndio hivyo, tena inasemekana wewe ndio hazina yao”
“Mimi hazina kivipi?”
“Veronica hayo mengine ni bora uyachunguze maana usikute ni maneno tu ya Watu”
Nilitafakari kwa kina lile jambo, nikaona sio bure lipo jambo linaloendelea kati ya Anko Sanga na Mama yangu! Nilipoinua macho yangu nilimuona Mama akinitazama! nilitabasamu kama vile hakuna kilichoongelewa kisha akaniita.
“Jirani baadaye!”
Nilienda nyumbani, Mama alinikalisha sebleni na kuniambia
“Kuwa makini na hawa watu wa hapa, ni wambea na wachonganishi. Usikute wanakuonea wivu huo ujauzito!”
“Aah! Mama jamani hapana”
“Sasa alikuwa anakwambia nini pale zaidi ya umbea maana nimewatazama muda mrefu”
“Tulikuwa tunaongelea mambo ya zamani tu, alikuwa akinikumbusha mambo yaliyopita”
“Anhaa! kumbe”
“Mama nataka Jonas aje huku maana nabakia peke yangu unapokuwa haupo, inanipa shida sana” Mama alitafakari kwa sekunde kadhaa kisha akaniambia sawa!
Nilimpigia simu Jonas na kumwambia asafiri kuja Arusha kukaa na mimi hadi pale nitakapojifungua. Wakati naongea na Jonas Anko Sanga alikuwa akipokelewa na Mama nje, nilipoenda kuchungulia ndio nikamuona
“Kuna nini?” Aliniuliza Jonas baada ya kuniona nimezubaa kwenye simu
“Anko Sanga yupo nje”
Simu ilipokatika nilimsalimia Anko Sanga, Mama akapeleka mabegi ya Anko Sanga chumbani kwake, ilinipa mashaka kidogo ya kwanini yale mabegi yapelekwe chumbani kwa Mama na sio kwenye chumba kingine?
Nilishusha pumzi na kujisemea nitajua mwisho wa hili jambo ni nini!
Mama aliandaa chakula kizuri sana siku hiyo, alifanya kazi zote huku akinitaka nipumzike maana uchovu ulikuwa ukinitawala mara kwa mara, alitengeneza na juisi ya matunda, tulikula kwa pamoja baada ya pale nilielekea chumbani kwangu kulala.
Kabla sijapitiwa na usingizi niliongea na Jonas akaniambia kesho yake ndio ataanza safari ya kuja Arusha kama tulivyoongea.
Nililala hadi majira ya Usiku, nilipoamka nilikuta Missed Call nyingi sana, zilikuwa ni missed Call za yule jirani maana alinipatia namba ili kama kuna tatizo niweze kumjulisha anisaidie!
Kwakuwa nilikuwa mchovu sana nilisubiri nioge kwanza ndipo niwasiliane nae, nilipomaliza nilimpigia lakini hakupokea simu.
Asubuhi Mapema nilienda kwake kumuulizia lakini niliambiwa amepelekwa Hospitali baada ya kuanguka ghafla Usiku, akili ikarudi kwenye zile Missed Calls nikajua pengine alikuwa na tatizo kubwa ndio maana alinipigia.
Nilijivuta hadi nyumbani, Mama ndio kwanza alikuwa akiamka akaniuliza kama usiku nilisikia kelele za Jirani nikamwambia hapana akasema Jirani alikuwa akipiga kelele akaanguka na kupoteza fahamu, sikutaka kumuuliza zaidi.
Niliendelea na shughuli zangu, Mama aliniaga akaondoka nikabakia na Anko Sanga pale nyumbani, wakati Mama ananiaga nikasema wasije wakawa wamepanga njama nyingine hawa? Aliniacha nikiwa nimekaa sebleni, alipoondoka tu Mama Anko Sanga alikuja pale sebleni akanikuta nimejilaza zangu kwa kujiachia maana uajuzito ulinipelekesha mno.
Alinisalimia lakini sikumchangamkia maana niliogopa asjie akanifanya jambo baya!
“Naona umekaa hapo kwa raha zako Anko?”
“Eeh! nimechoka tu napumzika hapa”
“Hivi Mumeo anakuja lini?”
“Naamini Mama amekueleza kuwa ni leo!”
“Hapana hatujaongelea jambo hilo kabisa, nilipokuona nimekumbuka Mlima Kilimanjaro”
“Anko Usinitibue! usinikumbushe mambo niliyoyasahau hata kidogo” nilisema kwa ukali, sikutaka mazoea nae kabisa
“Hasira za nini Veronica? Huutaki tena huu?” alichojoa taulo lake na kunionyesha Dudu lake refu
“Hivi Anko una nini wewe? Baada ya yote uliyonifanyia unataka kunidhihirishia kuwa wewe ni mshenzi si ndio?”
“Uko wapi ushenzi wangu Veronica? kila nikikumbuka jinsi nilivyoutoa usichana wako najikuta nikiwa na raha sana, Jonas anabakia kuwa Mwanaume wako wa pili baada yangu mimi…husikii raha?”
“Kwa jinsi ulivyo shetani unaongea upumbavu mbele ya Mtoto wa Dada yako, kimekuleta nini hapa?”
“Nimekuja kwa ajili yako Veronica, nimekuja kupigania penzi langu kwasababu inawezekana hicho kiumbe ni changu na sio cha Jonas”
“Ishia hapo hapo tena ushindwe na ulegee kwa jina la Yesu Kristo” Mara Mama akawa ameingia wakati huo Anko Sanga alikuwa amerudi Kuketi kwenye Sofa akiwa amevalia Taulo na tisheti nyeusi.
“Eeh! ndio unaamka Kaka?”
“Ndio yaani nimechoka kweli kweli, nilikuwa naongea na Binti yangu hapa”
“Haya ngoja niandae chakula cha mchana” Yalikuwa ni maneno ya Mama yangu aliyekuwa amebeba Mfuko, akaingia zake Jikoni.
Simu ya Jonas ndiyo ilinifanya niache kuwafikiria Mama na Anko Sanga, Jonas alikuwa tayari amefika Arusha kwa ndege, nilifurahi kusikia Jonas amefika Arusha angalau niliuona Mwangaza wa uhai wa maisha yangu na Mtoto wangu!
Nilimpokea Jonas kwa bashasha zote hadi chozi lilinitoka akaniuliza ni kwanini ninalia, nilimjibu nina furaha sana.
Nilimkumbatia na kumpiga mabusu kama yote. Mama hakuonyesha chuki dhidi ya Jonas kabisa, wala Anko Sanga hakuonyesha chuki kwa Jonas, waliongea kama Watu wazuri wenye malengo mema ya ndoa yetu.
Usiku ulipoingia kila kitu kikawa kimebadirika, wakati Jonas anatoka chooni alikutana na Mama, akamwambia waende sebleni kuzungumza. Jonas alipotaka kuingia chumbani ili avae vizuri Mama alimzuia na kumwambia haina shida.
Usiku huu nilikuwa chumbani nachezea simu yangu nikiwa ninamsubiria Jonas arudi kutoka bafuni, niliona akikawia kurudi.
Walipofika Sebleni Mama alimtaka Jonas akae kwenye sofa nae alifanya hivyo hivyo, mazungumzo yao yalianza. Mama alimueleza Jonas aniache kwasababu hakuwa chaguo lake
“Nawezaje kumuacha Mtu ninayempenda Mama?”
“Unampenda sawa lakini wewe sio chaguo langu kumuoa binti yangu, nilifanya vile ili tu kumridhisha huku nikitambua nini cha kufanya”
“Mama unakosea sana! Veronica ndio chaguo langu sahihi na tunapendana sana hata wewe ni shuhuda wa hili” Wakati wao wakiendelea kuongea sebleni, Mlango wa Chumba changu ilifunguka kwa taratibu, taa ilikuwa imezimwa hivyo nilihisi atakuwa ni Jonas, Kumbe alikuwa ni Mjomba Sanga akiwa amevalia bukta tuu.
Niliendelea kuchezea simu lakini kilichonishtua ni manukato, nilitambua kuwa aliyeingia hakuwa Jonas bali ni Anko Sanga, alikuwa ameshikilia kisu mkononi akinitaka nifanye nae Mapenzi.
“Ukipiga kelele nakuuwa hapahapa” Alisema hivyo huku akiwa ameniziba mdomo.
Mapigo ya moyo yalienda mbio sana, Aliponiachia nilihema juu juu
“Anko usinifanyie hivyo tafadhali, Mume wangu yupo hapa utanisababishia matatizo”
“Nimesema ukipiga kelele nakuuwa hapa hapa” alizidi kunitisha na kunifanya niwe muoga, nilifikiria nikaona nisiwe mbishi! Nilimfunulia ili afanye anachojisikia kunifanya.
“Hivi unawezaje kumg’ang’ania Mtu anayempenda mwingine?” Alisema Mama akijua fika kuwa Anko Sanga alikuwa kule Chumbani akinifanya na ujauzito wangu!
“Unamaanisha nini?” Jonas alikuwa amesimama ili aondoke lakini ile kauli ilimsubirisha alitaka asikie
kilichomaanishwa kwenye ile kauli ya Mama
“Wewe ni kijana mzuri, unapesa unatakiwa kuwa na Mtu sahihi lakini sio Veronica kwasababu anampenda Mtu mwingine, hata ule ujauzito sio wa kwako bali ni wa Huyo Mtu” alizidi kukipalia makaa ya moto kichwa cha Jonas.
“Wewe hustahili hata kuitwa Mama, huwezi kuongea kauli hizo kwa Mkweo”
“Haya nenda huko chumbani ndio utaamini Maneno yangu”
“Sidhani kama nitakuheshimu tena” Alisema Jonas huku akija Chumbani ambako Anko Sanga alikuwa akinifanya kwa lazima
“Tutaona kati yangu mimi na wewe ni nani anastahili pongezi kwenye hili” Aliongea Mama kwa sauti ya kumsindikiza Jonas chumbani, akiwa ameshikilia kitasa aligeuka na kumtazama Mama kisha aliingia mle chumbani, akasikia purukushani ikambidi awashe taa sasa.
“Veronica?” aliita kwa mshangao na mshituko mkubwa akiwa ananitazama nikiwa nafanywa na Anko Sanga, kuona vile Anko Sanga akakimbia
“Veronica nini hii?” Aliuliza tena Jonas akiwa ametahamaki kweli kweli, nilikuwa nikilia tu kitumbo kikiwa kimetuna
“Nilikwambiaje?” Sauti ya Mama ilisikika, yaani Mama aliamua kunionesha chuki za waziwazi, kilio kiliongezeka
“Ahsante sana! Nahangaika kwa ajili yako kumbe una Mtu unayempenda na kumpa penzi popote atakapo, uliniita huku ili unioneshe ushenzi wako” Aliongea Huku akitia baadhi ya vitu vyake katika begi, kiukweli ile aibu sikuwahi kuipata katika Maisha yangu! Sikuwa na ujasiri wa kuongea hata kujitetea.
Jonas aliondoka zake usiku uleule, aliniacha katika giza na dimbwi la mawazo, sikupata usingizi nilikesha nikilia Usiku kucha hadi kulipo pambazuka. Anko Sanga aliingia chumbani asubuhi, alinikuta bado nikiwa ninalia kwa uchungu
“Pole sikujua kama ingelikuwa hivi Veronica”
“Hivi nyie ni Watu au majini? mbona siwaelewi ni ndugu zangu kweli ninyi au mliniokota huko na kunilea, Wewe na Mama ni wakunifanyia hivi kweli?” Nilisema hakunijibu, Mara Mama akaingia na kutukuta tukiwa chumbani.
“Mpango wenu umeenda sawa leo, lakini ipo siku hautaenda kama mnavyotaka ninyi” Nilimwambia Mama, Chakushangaza akaniambia sitakiwi kutoka ndani kuanzia muda ule
“Chochote mtakachopanga dhidi yangu hakitafanikiwa, hivi Mama kweli unanifanyia hivi binti yako?”
Mama aliondoka na Anko Sanga wakiwa na siri kubwa ya wanachonifanyia lakini Jirani alishanidokeza kuwa Mama yangu alikuwa Mshirikina, kila Anko Sanga alivyofanya mapenzi na mimi alikuwa akizidi kutajirika.
Hakujali kama nilikuwa mjamzito alinifanya atakavyo ili tu awe tajiri na hizo pesa waligawana na Mama yangu Mzazi, wakati mwingine alinifanya Mama akishuhudia kila kitu, ilikuwa ni laana iliyovuka mipaka. Sikuwa na guvu ya kumzuia Anko Sanga na wala sikutaka kupiga makelele kwa kuhofia kujidharirisha.
Simu zangu walizichukua ili nisiwasiliane na yeyote yule, walinipa vitisho kuwa nikipiga kelele wataniuwa. Maisha yalibadirika sana, Mama na Anko Sanga wakawa matajiri sana.
Ulipofika muda wa kujifungua nilijifungua mtoto wa kike niliyefanana nae sana, nilimpa jina la Moyo, nilimlea Mtoto wangu mwenyewe.
Mchezo wa Anko Sanga haukufikia kikomo kabisa, alilala na mimi kila siku ili azidi kuwa tajiri. Alinichukua nikawa naishi kwake, Mama yangu ni kama vile alikuwa amerogwa na pesa alinihimiza sana kumpa penzi Anko Sanga, Mtoto alipofikisha miezi mitatu nilipata wazo la kutaka kutoroka nyumbani kwa Anko Sanga ili nimtafute Jonas.
Nilimkubalia Anko Sanga kuwa tufunge ndoa ili niwe Mke wake na nilifanya hivi ili tu anianini na anipe uhuru
“Umefikiria nini Veronica?” aliniuliza nikiwa nambembeleza Mtoto
“Tutaishi hivi hadi lini? ni bora tuwe Mke na Mume” Alifurahi sana, akampa taarifa Mama kuwa nimekubali kuolewa na Anko Sanga.
Mama kwa Ujinga wake alichekelea sana kusikia hivyo, walichotaka ni kutimiza mambo yao ya utajiri.
“Hii harusi ikafanyikie mbali na hapa Arusha” alitoa wazo Mama
“Kwanini?” niliuliza
“Naona ndio itapendeza sana” wazo la Mama lilipita bila kupingwa na yeyote, nilichotaka ni kuwa Mke wa Anko Sanga na kumuaminisha kuwa nilikuwa na mapenzi naye ili tu anipe uhuru nitoroke maana sikuwa na simu na wala sikupata ruhusa ya kwenda popote zaidi ya kukaa ndani kwenye jumba lake la kifahari.
Basi, ndoa ilifungwa baada ya wiki mbili tu na nikawa Mke wa Anko Sanga huku nikiwa na mawazo ya nini cha kufanya. Nilimpa penzi atakavyo tena nilikuwa nikimuomba mwenyewe, kila alipotaka kuniingilia alipaka mafuta maalum kwenye Dude lake, tena wakati mwingine nilimuhimiza kupaka hata aliposema tufanye bila kupaka mafuta.
“Veronica sasa hivi naona umekunjua roho yako” Alisema Anko Sanga
“Kwanini?”
“Unanihudumia kama Mumeo tena kwa hiyari yako”
“Mapenzi yana muda husika, mtu unavyomzoea ndipo unapompenda na kumpa kila kitu”
Alifurahia sana maneno yangu, nikawa nasubiria anipe uhuru wa kutoka, nilijua kucheza na akili yake aliposahau kufunga mlango nilimkumbusha kuwa aliacha mlango wazi, taratibu nilianza kumuaminisha kuwa sina nia ya kwenda popote pale.
Siku moja aliniletea simu, akanipa bila wasiwasi wowote kumbe ile simu aliiunganisha na simu yake, naye alikuwa mjanja sana japo nilibadirika lakini hakuniamini, siku zote hizi nilikuwa nikisali ili Mama yangu arudi kwenye akili za kibinadamu,
niliamini kuwa siyo akili yake ile kwa jinsi alivyonilea.
Anko Sanga alipohitaji pesa alifanya mapenzi na mimi lakini alipohitaji starehe alistarehe na Wanawake wengine, wengine niliwaona kabisa wakija pale nyumbani, haikuniuma kabisa kwasababu sikumpenda lakini nilijifanya kumuonea wivu
“Unanifanyia huvi au sikuridhishi? unataka nikupe nini wewe Mwanaume?”
“Veronica usisahau kuwa nimekuoa kwa kazi gani, unatakiwa kuniletea pesa na sio mapenzi”
“Hata kama lakini unapaswa kutambua jinsi ulivyonibadirisha hadi nimekupenda”
“Nimesema fanya kazi yako!” Alikuwa na majibu ya dharau mno, nilimvumilia sababu nilijua nataka nini!
Ile simu ilikuwa ndogo tu yaani ya kitochi, hivyo ilikuwa ngumu kwangu japo kupata namba za Jonas wala za marafiki zangu niliosoma nao kama Konzo, Siku moja alirudi akiwa amelewa, alikuwa na Mwanamke mmoja ambaye jinsi alivyozungumza alikuwa hajalewa kabisa.
Siku zote kila alipoleta Mtu alikuwa akinifungia chumbani na kustarehe chumba Kingine, nikiwa mle chumbani nilipata harufu ya Sigara alafu nikasikia sauti ya Mwanamke akiongea kuwa
“Nalala huku huku asubuhi anipe changu, kalewa chakali” nilisikia sauti hii niliita
Nini Kitaendelea? Usikose SEHEMU YA SABA
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapa
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896
8 Comments
Mbn unatuma vpande vfupi
Damn vero
Endelea pls
Hadithi nzuri sana
Kumechangamka tyr
Daaaah Huruma Kwa Vero
Jmn Hadith nzuri muendelezi plzzz
Iyendelee