Kampuni ya michezo ya kubashiri LEONBET Tanzania imezidi kudhihirisha ubunifu wake katika kukuza michezo na kuburudisha Watanzania, baada ya kutangaza rasmi ushirikiano na nyota wawili maarufu nchini ambao ni Simon Msuva, mchezaji wa kimataifa wa Tanzania na Baraka Mpenja ambaye ni mtangazaji na mwandishi mashuhuri wa michezo nchini.

Kupitia ushirikiano huu, LEONBET imeleta sura mbili zinazojulikana na kuaminika katika sekta ya michezo mmoja akiwa mchezaji mwenye mafanikio ya muda mrefu uwanjani huku mwingine akiwa mwandishi mwenye ushawishi mkubwa katika vyombo vya habari. Lengo ni moja: kuwaletea Watanzania uzoefu wa kipekee wa michezo, burudani na betting yenye uwajibikaji.

Kwa zaidi ya miaka kumi, Simon Msuva amekuwa mhimili wa timu ya taifa ya Tanzania inayofahamika kwa jina la utani kama Taifa Stars huku akionesha nidhamu, kasi na uwezo wa kipekee katika uwanja wa mpira.

Kupitia vilabu alivyowahi kuchezea barani Afrika na Kaskazini mwa bara hilo, Msuva amekuwa mfano wa mafanikio kwa vijana wengi wa Kitanzania wanaotamani kuifikia ndoto yao kupitia soka huku kuwaasa pia wale wanaosuka mikeka kuhakikisha kuwa wanacheza salama na kwa kiasi.

Kumbuka kuwa, kwa Msuva, ushirikiano huu sio tu wa kibiashara, bali ni nafasi ya kutumia jina lake kuhamasisha vijana wawe na nidhamu, wajitume na waamini katika mafanikio halali.

Wakati Msuva akiendelea kuwasha moto ndani ya uwanja, Baraka Mpenja anafanya hivyo nje ya uwanja kupitia vipindi, mahojiano na matangazo ya michezo vinavyopendwa na maelfu ya Watanzania.

Mpenja amekuwa mmoja wa waandishi wachache wanaochanganya taaluma, ubunifu na uhalisia  akifanya michezo kuwa habari na habari kuwa burudani.

Mbali na ushirikiano huu mkubwa, LEONBET imeendelea kuvutia wateja kupitia ofa na promosheni kadhaa za kipekee zinazowapa mashabiki nafasi ya kushinda kila siku.

Baadhi ya promosheni hizo ni pamoja na:

💰 Bonasi ya App: Wateja wapya wanaopakua App ya LEONBET wanapata TZS 5,000 bure, kwa matumizi kwenye michezo ya Sloti na Live Casino.

🏆 Weekly Sports Leaderboard Challenge: Shindano linalowahusisha wachezaji wanaoweka multibet zenye odds kuanzia 1.6 au zaidi na kushindania zawadi ya TZS 600,000 kila wiki.

✈️ Mvua ya Beti za Bure (Aviator): Kila saa, beti za bure hutolewa kwa wachezaji waliopo kwenye chati ya mchezo wa Aviator ambapo unapata nafasi ya kushinda bila kutumia fedha zako!

Ombi la LEONBET ni rahisi kwa Watanzania: cheza kwa uwajibikaji, burudika na ufurahie ushindi wako kwa njia halali.

USISAHAU KUWA uhalisia wa huduma za LEONBET unathibitishwa na ushindi wa Watanzania kadhaa. Mfano mzuri ni Muganyizi Jackson Samwel, aliyejishindia zaidi ya TZS 101,801,710.48 kupitia ubashiri wa mpira wa miguu, na Bahati David, aliyepata TZS 40,000,000 kupitia mchezo wa Aviator.

Kwa matokeo haya, LEONBET imeendelea kujenga imani miongoni mwa wachezaji kama kampuni inayoaminika, yenye malipo ya haraka na huduma bora kwa wateja.

Kupitia Simon Msuva na Baraka Mpenja, LEONBET Tanzania imepata mchanganyiko kamili wa vipaji vya uwanjani na uwezo wa mawasiliano nje ya uwanja.

Msuva anawakilisha nidhamu, mafanikio na juhudi za mchezaji wa kitanzania mwenye hadhi ya kimataifa wakati Mpenja anawakilisha maarifa, ushawishi na sauti ya michezo inayofikia mamilioni kupitia vyombo vya habari.

Kwa pamoja, wanaunda taswira mpya ya LEONBET kampuni inayojali michezo, inayoamini katika uwazi na inayoleta nafasi halisi za ushindi kwa kila mteja.

110 Comments

  1. 益群网:终身分红,逆向推荐,不拉下线,也有钱赚!尖端资源,价值百万,一网打尽,瞬间拥有!多重收益,五五倍增,八级提成,后劲无穷!网址:1199.pw

  2. Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu – na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini sio hivyo tu – Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote – huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa – usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159

    dawnacuna314@gmail.com

  3. Envie de parier telecharger 1xbet est une plateforme de paris sportifs en ligne pour la Republique democratique du Congo. Football et autres sports, paris en direct et d’avant-match, cotes, resultats et statistiques. Presentation des fonctionnalites du service.

Leave A Reply

Exit mobile version