Kampuni ya michezo ya kubashiri LEONBET Tanzania imezidi kudhihirisha ubunifu wake katika kukuza michezo na kuburudisha Watanzania, baada ya kutangaza rasmi ushirikiano na nyota wawili maarufu nchini ambao ni Simon Msuva, mchezaji wa kimataifa wa Tanzania na Baraka Mpenja ambaye ni mtangazaji na mwandishi mashuhuri wa michezo nchini.
Kupitia ushirikiano huu, LEONBET imeleta sura mbili zinazojulikana na kuaminika katika sekta ya michezo mmoja akiwa mchezaji mwenye mafanikio ya muda mrefu uwanjani huku mwingine akiwa mwandishi mwenye ushawishi mkubwa katika vyombo vya habari. Lengo ni moja: kuwaletea Watanzania uzoefu wa kipekee wa michezo, burudani na betting yenye uwajibikaji.
Kwa zaidi ya miaka kumi, Simon Msuva amekuwa mhimili wa timu ya taifa ya Tanzania inayofahamika kwa jina la utani kama Taifa Stars huku akionesha nidhamu, kasi na uwezo wa kipekee katika uwanja wa mpira.
Kupitia vilabu alivyowahi kuchezea barani Afrika na Kaskazini mwa bara hilo, Msuva amekuwa mfano wa mafanikio kwa vijana wengi wa Kitanzania wanaotamani kuifikia ndoto yao kupitia soka huku kuwaasa pia wale wanaosuka mikeka kuhakikisha kuwa wanacheza salama na kwa kiasi.
Kumbuka kuwa, kwa Msuva, ushirikiano huu sio tu wa kibiashara, bali ni nafasi ya kutumia jina lake kuhamasisha vijana wawe na nidhamu, wajitume na waamini katika mafanikio halali.
Wakati Msuva akiendelea kuwasha moto ndani ya uwanja, Baraka Mpenja anafanya hivyo nje ya uwanja kupitia vipindi, mahojiano na matangazo ya michezo vinavyopendwa na maelfu ya Watanzania.
Mpenja amekuwa mmoja wa waandishi wachache wanaochanganya taaluma, ubunifu na uhalisia akifanya michezo kuwa habari na habari kuwa burudani.
Mbali na ushirikiano huu mkubwa, LEONBET imeendelea kuvutia wateja kupitia ofa na promosheni kadhaa za kipekee zinazowapa mashabiki nafasi ya kushinda kila siku.
Baadhi ya promosheni hizo ni pamoja na:
💰 Bonasi ya App: Wateja wapya wanaopakua App ya LEONBET wanapata TZS 5,000 bure, kwa matumizi kwenye michezo ya Sloti na Live Casino.
🏆 Weekly Sports Leaderboard Challenge: Shindano linalowahusisha wachezaji wanaoweka multibet zenye odds kuanzia 1.6 au zaidi na kushindania zawadi ya TZS 600,000 kila wiki.
✈️ Mvua ya Beti za Bure (Aviator): Kila saa, beti za bure hutolewa kwa wachezaji waliopo kwenye chati ya mchezo wa Aviator ambapo unapata nafasi ya kushinda bila kutumia fedha zako!
Ombi la LEONBET ni rahisi kwa Watanzania: cheza kwa uwajibikaji, burudika na ufurahie ushindi wako kwa njia halali.
USISAHAU KUWA uhalisia wa huduma za LEONBET unathibitishwa na ushindi wa Watanzania kadhaa. Mfano mzuri ni Muganyizi Jackson Samwel, aliyejishindia zaidi ya TZS 101,801,710.48 kupitia ubashiri wa mpira wa miguu, na Bahati David, aliyepata TZS 40,000,000 kupitia mchezo wa Aviator.
Kwa matokeo haya, LEONBET imeendelea kujenga imani miongoni mwa wachezaji kama kampuni inayoaminika, yenye malipo ya haraka na huduma bora kwa wateja.
Kupitia Simon Msuva na Baraka Mpenja, LEONBET Tanzania imepata mchanganyiko kamili wa vipaji vya uwanjani na uwezo wa mawasiliano nje ya uwanja.
Msuva anawakilisha nidhamu, mafanikio na juhudi za mchezaji wa kitanzania mwenye hadhi ya kimataifa wakati Mpenja anawakilisha maarifa, ushawishi na sauti ya michezo inayofikia mamilioni kupitia vyombo vya habari.
Kwa pamoja, wanaunda taswira mpya ya LEONBET kampuni inayojali michezo, inayoamini katika uwazi na inayoleta nafasi halisi za ushindi kwa kila mteja.

2 Comments
That’s interesting to see LEONBET partnering with both Simon Msuva and Baraka Mpenja – a good mix of athlete and media personality. I found some related discussion about sports sponsorships on https://tinyfun.io/game/labubu-clicker, which was also insightful.
https://shorturl.fm/TF9T0