Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Hadithi
Ilipoishia Tukaendelea kutembea huku tukiwa makini. Njiani tulikuta magari mengi yakiwa yametelekezwa, yakiwa yamejaa vumbi na yanaonyesha kwamba hayajatumika kwa muda mrefu. Ndani ya magari hayo…
Ilipoishia “Ka-kaka! Kwasasa ardhi yetu haina makazi. Namaanisha kwamba tangu mwaka mmoja uliopita, virusi visivyo fahamika vimetawala, na sasa watu wengi sana wamekuwa mazombi. Wakikung’ata, lazima…
Kwa majina naitwa Bernard Pour. Mimi ni mtoto wa tatu kati ya watoto sita wa Bwana na Bi. Pour David. Yaliyonifanya leo kuwa na uwezo wa…
Ilipoishia “Wala hakuongea chochote akaanza kuniandalia chakula nile, nilikua nahema kwa shida sana. “Kunywa Maji” alisema, alikua haniangalii usoni, nilikua na kiu ya maji lakini kiu…
Ilipoishia “Jua lilianza kuzama, nilikua tayari nimemaliza kupika na kuweka chakula kwenye hot-pot. Nilikua na msongo wa mawazo, kichwa nacho kilikua kinaniuma sana kwa sababu ya…
Ilipoishia “Kama utaendelea kunisumbua basi hapa patakuwa Jahannam yako na hutokaa utoke Milele Daima. Kingine napaswa kukuvuna viungo kila unapofanya mapenzi na Misukule, siku nikimaliza nitakuacha…
Ilipoishia “Sikuwa na maswali mengi kuwa chapati zinaenda kuliwa na Nani sababu hata ule Mchicha nilikua na uhakika kuwa unaliwa na Misukule niliyoiona Usiku. Nilihisi kukonda…
Ilipoishia “Shiii‼” Baba Mkwe akanipa ishara katili ya kunitaka nikae kimya vinginevyo kile kisu kingeingia mwilini mwangu. Kisha akachuchumaa na kuniambia “Leo utajuwa ni kwanini uliolewa…
Ilipoishia “Mh! Kwani yule Kijana yuko wapi sijamuona muda, yeye alikua anachukua Mchicha hadi wa Elfu Kumi” alisema yule Mama, sikuweza kujizuia ilibidi nicheke maana Mchicha…
Ilipoishia “Utamzoea, si unajuwa wazee wa zamani. Pengine hakutaka wewe ushike begi kwasababu zilizo kaa kitamaduni tu za Kizamani au kabila letu lakini ni mcheshi utamzoea…