Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Browsing: Africa | CAF
Simba Sports Club imezindua kituo cha WhatsApp kwa lengo la kuboresha mawasiliano na ushirikiano na mashabiki wake. Akiongea katika sherehe ya uzinduzi huko Dar es Salaam…
Mamelodi Sundowns watacheza fainali ya CAF Women’s Champions League kwa mara ya tatu mfululizo. Bingwa wa Afrika Kusini anajiandaa kukutana tena na SC Casablanca, timu waliyoshinda…
Simba wameitisha mkutano wa waandishi wa Habari nakuzungumza nao kupitia msemaji wao Ahmed Ally kuelekea mchezo wao dhidi ya Asec Mimosas pamoja na viingilio vya mchezo…
Rais wa Simba SC, Mohamed Dewji, kuhusu maombi lake kwa mashabiki wa timu hiyo. Dewji ametoa wito kwa mashabiki wa Simba kuwa watulivu na kuendelea kuunga…
Sporting Club de Casablanca imefuzu kwa mara ya kwanza kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Wanawake wa CAF baada ya ushindi wa kishindo wa…
Mamelodi Sundowns wamekuwa mabingwa wa kwanza wa Ligi ya Mpira wa Miguu ya Afrika (AFL) baada ya ushindi wa 2-0 katika mchezo wa pili dhidi ya…
Kocha wa Azam, Bruno Ferry, amepongeza wachezaji wake baada ya kuonyesha uwezo mkubwa ugenini na kuwazawadia ushindi wa 3-1 dhidi ya Ihefu katika uwanja wa Highland…
Denis Kitambi, aliyefanya mahojiano na Gift Macha, ameleta mwangaza wa kipekee kuhusu mechi iliyopita ya Simba dhidi ya Namungo. Kitambi ameelezea jinsi Namungo walivyodhibiti mechi, akisema,…
Baadhi ya takwimu ya michezo iliyokwisha chezwa ya ligi kuu ya NBC baada ya ligi kusimama kupisha michezo ya kimataifa ya FIFA. Timu zenye points nyingi…
Yanga inaendelea kusherehekea ushindi wake baada ya kufanikiwa kuwafunga Coastal Union kwa 1-0 katika mchezo mkali wa Ligi Kuu. Wakati wakiwa Mkwakwani Tanga Stadium, Yanga walionyesha…