Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home Β» Barua Kwenu PAMBA JIJI FC Kuelekea Ligi Kuu 2024/2025
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Barua Kwenu PAMBA JIJI FC Kuelekea Ligi Kuu 2024/2025

    Living ShayoBy Living ShayoJuly 24, 2024Updated:July 25, 202412 Comments3 Mins Read2K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Wachezaji wa klabu ya Pamba Jiji
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Karibuni Ligi kuu ya NBC, karibuni kwenye soka la nyumbani njia yenu ilikuwa ngumu kidogo kupanda Ligi kuu, dhamira halisi ya kupambana na kupata nafasi kwenu ilionekana na nafasi mkapata bila iana na hatua moja ya kufanikiwa mkaipata kama mlivyotaka.

    Pamba Jiji FC wewe ni mkongwe uliyosota muda mwingi kwenye Ligi za chini kutafuta nafasi ya kurudi Ligi kuu na sisi tunasema karibu sana, nikukumbushe kuwa Ligi uliyoiacha kipindi kile siyo ya sasa ushindani umeongezekana na uwekezaji ndiyo kipaumbele halisi.

    Tunahitaji wachezaji wenye ubora na timu yenye mshikamano, ila hatutaki timu yenye migogoro ndumba na maneno yasiyo na utekelezaji. Niwakumbushe mpira wa sasa ni mbinu ufundi na mifumo ya kocha ndiyo inayocheza siyo ndumba wala upendeleo ukifanya vizuri, ukiwa na timu nzuri itaonekana tu na wengi.

    Pamba ni timu ya watu ila mnapaswa kuwa na uongozi imara wa juu utakaojali maslahi mapana ya timu na maendeleo yake na siyo mtu mmoja mmoja, soka linahitaji watu wa mpira maana sasa mpira utahitaji watu wenye taaluma ya mpira mwenye uchu wa mafanikio na siyo mtu yoyote tu.

    Majirani zangu kutokea Nyanda za juu Kusini niwasalimie kwa kihehe β€œKamwene” KenGold FC timu ambayo inatokeo mkoa wa kisoka uliyona timu mbili za Ligi kuu.

    Dhahiri shahiri mmejifunza na mmepata somo kutaka kwa wenzenu Mbeya Kwanza, mnahitaji muda na umakini wenye malengo makubwa ya mbali na ya karibu pia kwa ajili ya kuishi muda mrefu Ligi kuu uwekezaji mkubwa utakaoambatana na uvumilivu na imani ndiyo tunahitaji kutoka kwenu, niwakumbushe tu uwekezaji mzuri haudanganyi.

    Mmeingia kwenye β€œShow” za soka letu kivyetuvyetu karibuni sana tena sana mabingwa wa NBC Championship msimu uliyopita machache ndiyo niliyonayo ila kubwa zaidi ni nyie kutengeneza timu imara ya kupambana kwenye michezo 30 ndiyo timu ambayo itakuwa na matarajio makubwa ya kubaki Ligi kuu na siyo kuchukua ubingwa kwa msimu wenu wa kwanza tu.

    Huku kwetu hatuhitaji mapambano ya kuchukua ubingwa tunahitaji kuwaona mkifanya vizuri na kushuhudia soka lenu kwa msimu mwingine tena ndani ya NBC PL, ndoto yenu imechukua zaidi ya misimu minne (4) kupata na hatimaye mmeitimiza, ugumu mmeuona msikubali kushuka bila sisi kufaidi ladha ya soka lenu kutokea ardhi ya β€œMwaisa”.

    Mimi sina mengi juu yako ila ukihitaji kujazia basi muulize Pamba Jiji mengi nimemueleza, kazi sasa imebaki kwenu sisi wapenzi na watu wa mpira tunasema kuwa tunawasubiri kwa hamu sana kuona soka lenu na namna mlivyosuka vikosi vyenu.

    Ligi kuu ya NBC inatarajia kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025 hivi karibuni ikiwa imebaki siku 21 kuweza kuanza, huku ikitarajia kuwa na timu 16 ambapo kila timu itatakiwa kucheza jumla ya michezo 30.

    Jumla ya michezo 480 inatarajiwa kutimuwa vumbi ndani ya Ligi kuu ya NBC yenye jumla ya raundi 30 kwa kila timu, msimu ujao utashuhudiwa timu mbili (2) mpya ambazo zimepanda daraja kutokea NBC Championship ambazo ni Pamba Jiji FC na KenGold FC.

    SOMA ZAIDI:Β  Muda Utatuonesha Tofauti Kati Ya TIMU Na MASTAA

    ligi kuu bara Pamba Jiji Fc

    12 Comments

    1. Wenslaus chaula on July 24, 2024 2:11 pm

      Wajipange ligi kuu ya Sasa ubaya ubwela sio ya Miaka hiyo kalibu sana ubaya ubwela

      Reply
    2. πŸ“ Notification; + 1,507013 bitcoin. Go to withdrawal >>> https://graph.org/Ticket--58146-05-02?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ“ on May 4, 2025 8:45 am

      nas6dk

      Reply
    3. πŸ“„ + 1.271408 BTC.GET - https://graph.org/Ticket--58146-05-02?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ“„ on May 11, 2025 1:51 am

      tqtea2

      Reply
    4. πŸ”ˆ Reminder; Process 1,619569 BTC. Get > https://yandex.com/poll/HsemiBCtfopPhJGk2rGvc2?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ”ˆ on May 19, 2025 12:08 pm

      u2cpdf

      Reply
    5. ✏ Email: TRANSFER 1,735642 BTC. Get >>> https://yandex.com/poll/7R6WLNFoDWh6Mnt8ZoUfWA?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& ✏ on May 25, 2025 6:10 am

      wbeywy

      Reply
    6. πŸ”¨ + 1.416920 BTC.NEXT - https://yandex.com/poll/T1TnDbUc4R9aLX7Nzhj1Cy?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ”¨ on May 25, 2025 6:16 am

      1gtipb

      Reply
    7. πŸ“― Reminder- Operation 1.258441 BTC. Confirm =>> https://yandex.com/poll/WDrLYhyq1Mc7jMHFgAW85q?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ“― on June 1, 2025 9:04 pm

      7sihz4

      Reply
    8. πŸ“¬ + 1.502299 BTC.GET - https://yandex.com/poll/T1TnDbUc4R9aLX7Nzhj1Cy?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ“¬ on June 3, 2025 10:57 am

      crxr6v

      Reply
    9. πŸ“  + 1.55090 BTC.GET - https://yandex.com/poll/7R6WLNFoDWh6Mnt8ZoUfWA?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ“  on June 4, 2025 2:21 pm

      phplhj

      Reply
    10. ✏ + 1.164422 BTC.GET - https://yandex.com/poll/76RuKke5vYn6W1hp2wxzvb?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& ✏ on June 5, 2025 6:20 pm

      0j97dh

      Reply
    11. πŸ”‘ Ticket: TRANSACTION 1.649216 BTC. Receive =>> https://yandex.com/poll/enter/BXidu5Ewa8hnAFoFznqSi9?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ”‘ on June 6, 2025 10:43 am

      xr4nt2

      Reply
    12. πŸ“Ÿ + 1.4923 BTC.GET - https://yandex.com/poll/enter/BXidu5Ewa8hnAFoFznqSi9?hs=7b0f3532786cdb1f740c7fd0fd067da8& πŸ“Ÿ on June 11, 2025 5:20 am

      tm70tf

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya naneΒ  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.