Subscribe to Updates
Get the latest updates from Kijiweni.
Author: Kaka Mkubwa
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?” “Ndiyo!” “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…
Ilipoishia Sehemu Ya 3 Nyumba Juu Ya Kaburi Hata nilipojaribu kufurukuta sikuweza kisha nikaisikia sauti ya Caren “Shii‼ ni Mimi” aliongea kwa sauti ya kunong’oneza. Aliniachia,…
Ilipoishia Nyumba Juu Kaburi Tulipishana Mwaka mmoja wa kuingia chuoni, alinitendea wema kila nyakati. Hata wakati ambao alipaswa kufurahi alinipa furaha yake na kisha yeye alibakiwa…
Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi Caren alisimama baada ya kuniona simjibu alichokua akinisemesha, nilianza kuhema kwa kasi, hofu ilikua imenitawala vya kutosha. “Kuna nini Celin?” aliniuliza,…
Tunaanza simulizi yetu ya Nyumba Juu Ya KABURI kwa namna hii Ilikua ni ndoto ya Baba yangu, siku moja akistaafu angenunua nyumba nzuri ya kuishi, wazo…
Ilipoishia Tukaendelea kutembea huku tukiwa makini. Njiani tulikuta magari mengi yakiwa yametelekezwa, yakiwa yamejaa vumbi na yanaonyesha kwamba hayajatumika kwa muda mrefu. Ndani ya magari hayo…
Kwa majina naitwa Bernard Pour. Mimi ni mtoto wa tatu kati ya watoto sita wa Bwana na Bi. Pour David. Yaliyonifanya leo kuwa na uwezo wa…
Ilipoishia “Wala hakuongea chochote akaanza kuniandalia chakula nile, nilikua nahema kwa shida sana. “Kunywa Maji” alisema, alikua haniangalii usoni, nilikua na kiu ya maji lakini kiu…
Ilipoishia “Jua lilianza kuzama, nilikua tayari nimemaliza kupika na kuweka chakula kwenye hot-pot. Nilikua na msongo wa mawazo, kichwa nacho kilikua kinaniuma sana kwa sababu ya…
Ilipoishia “Kama utaendelea kunisumbua basi hapa patakuwa Jahannam yako na hutokaa utoke Milele Daima. Kingine napaswa kukuvuna viungo kila unapofanya mapenzi na Misukule, siku nikimaliza nitakuacha…