Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Akiondoka Benchika , Tutegemee Simba Gani Msimu Ujao?
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Akiondoka Benchika , Tutegemee Simba Gani Msimu Ujao?

    Baraka JohanessBy Baraka JohanessApril 27, 2024Updated:April 27, 202411 Comments3 Mins Read7K Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Baada ya tetesi kuvuma kuwa Kocha mkuu wa klabu ya Simba Abdelhak Benchikha ataondoka mwishoni mwa msimu kumekua na maswali mengi kwa wadau kuhusu tutegmee Simba ya aina gani msimu ujao? Kumbuka kuwa Simba imecheza michezo 21 kwenye ligi akishika nafasi ya 3 akiwa na point 46 huku akiwafikisha wekundu hao wa msimbazi hatua ya robo fainali ya CAF champions league.

    Kuna kauli inasema “coaches are hired to be sacked “makocha wanaajiriwa ili kufukuzwa ila sababu za makocha hawa kufukuzwa au kuacha vibarua vyao vina sababu nyingi sitaki kutaka kusema nini nahisi kimemfanya benchika kujiuzulu nataka tu niwape tathmini ya hatima ya simba msimu ujao karibu…

    Sitasema kwa kunyoosha kidole kuwa simba watakuwa bora au wabaya msimu ujao ila ninatoa  uchambuzi wa sababu ambazo zinaweza zikamfanya simba afanikiwe  tuanze kwa kujiuliza maswali haya .

    Je, Simba wana tamaduni yao ya kiuchezaji (style of play) sidhani hata Yanga . Kitu hiki ni muhimu sana kwenye timu kwanini?

    Inasaidia kujua unahitaji aina gani ya wachezaji ili waweze kufit katika style uitakayo sio kila mchezaji anafaa kwa kila tamaduni ya kiuchezaji ila kwa tanzania kocha ndio hutoa maamuzi ya jinsi ya timu kucheza

    Hivo kocha  atachagua majina ya wachezaji anaohisi wanafaa kwa style yake swali je atapewa wachezaji hao au la asipopewa profile za wachezaji anao wahitaji its 0 work done tena

    Simba inatakiwa kufanya assesment kuanzia ngazi ya management hadi ngazi ya chini kabisa kwa wachezaji kwanini ?  nitaeleza

    Kuna quote inasema “Football is like life – it requires perseverance, self-denial, hard work, sacrifice, dedication, and respect for authority.” In Swahili, “Mpira wa miguu ni kama maisha – unahitaji uvumilivu, kujinyima, kazi ngumu, kujitoa, dhabihu, utayari, na kuheshimu mamlaka.”

    Nikurudishe nyuma kidogo kama unajiuliza kwanini makocha 5 bila mafanikio simba basi jibu ni kujituma , kazi ngumu , kujitoa wachezaji wa simba wamekosa hiki kitu wamekosa tamaa ya kuipambania jezi nyeupe yenye nakshi nyekundu , jezi ya blue na nyekundu na ile nembo ya mnyama

    Ili simba wawe bora inabidi wawe na uchungu na ile jezi kuanzia management hadi wachezaji

    Ila pia recruitment ya wachezaji unao wasajili wana quality ya ku compete at international level mnaikunbuka simba yenye quality ndani na nje mfano niongelee safu ya kiungo (Mkude , lwanga , bwalya , chama ) hizi quality simba hazipo mfano tu mnajua simba wana msimu wa pili wanacheza bila kiungo mkabaji wa asili ?

    Kuna quote inasema “It’s not whether you get knocked down, it’s whether you get up. Kwa kiswahili inasema sio kuhusu kupigwa chini ni kuhusu kusimama tena

    Kwa nilichokieleza nakaa pande mbili za sarafu kichwa “simba ata vyema kama ata timiza niliyoyaandika “ mwenge “vice versa akishindwa kufanya hivyo vitu atakua kwenye level worse zaidi ya hii “

    SOMA ZAIDI: Uwanja Wa Uhuru Ufanyiwe Marekebisho Maeneo Gani?

    benchikha simba kocha kuondoka simba kocha mkuu mpya simba simba sc

    11 Comments

    1. Taisoni Chijoja on April 27, 2024 9:02 am

      Simba Ni taasisi ivyo benchika hata akiondoka tutegemee kuiona Simba bola.
      Kilicho Baki Ni viongozi kuangalia wapi wamefeli wafanye sajili za maana kuhusu swala la mwalimu kuondoka hata halinipi presha ili mradi Simba yangu ipo

      Reply
    2. 𝐓𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐀𝐁𝐀𝐒 on April 27, 2024 9:04 am

      Kocha 𝗯𝗲𝗻𝗰𝗵𝗶𝗸𝗮 ni 𝗺𝘄𝗮𝗹𝗶𝗺𝘂 mzuri sana,sasa kama akiondoka
      Kwa 𝘀𝗶𝗺𝗯𝗮 hii wategemee kushuka daraja moja kwa moja
      By 𝐭𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐀𝐁𝐀𝐒

      Reply
      • Fatihu Salim gilla on April 27, 2024 9:14 am

        Sio wakati sahii Kwa kocha abdelhak benchikha kuondoka msimbazi Bado anatakiwa kujipa muda.

        Reply
    3. Masalu jr on April 27, 2024 9:07 am

      Benchika akiondoka simba hakutakua na mabadiliko makubwa kwa sababu simba shida sio kocha ni wachezaji kwa hiyo simba inabidi wawekeze pesa nyingi katika usajili ili kikosi chao kiwe bora na si vinginevyo

      Reply
    4. [email protected] on April 27, 2024 10:53 am

      Benchika siyo sababu ya Simba kuwa hivi ilivyo mana hâta kabla ya yeye kuja ilikuwa hivohivo me naona Simba ilifanya kosa kitambo sana kumruhusu senzo aende Yanga na manara mana hao walikuwa na mchango mkubwa WA kufanya Simba île imara …

      Reply
      • Sonco Cheol on April 27, 2024 2:03 pm

        Mh I doubt your comment 😔

        Reply
    5. Laiza on April 27, 2024 11:04 am

      By the way kocha n mzuri ila viongozi ndo wanazingua ila naamini atakuja mwingine mzuri

      Reply
    6. Abbas on April 27, 2024 1:24 pm

      Simba mwenda pole….

      Reply
    7. Fally puper on April 27, 2024 1:44 pm

      SHIDA NI BENCHIKA
      SHIDA WACHWZAJI
      SHIDA UONGOZI

      benchika anataka nni
      Wachezaji wanataka nni
      Uongozi unatakanni

      Aondoke abaki kama kinachofukuta hapo kitakua bado ivi ivi. Haina mana ya Benchika kubaki.

      Reply
    8. Sonco Cheol on April 27, 2024 2:01 pm

      Nadhani huu ni muda sahihi wa kujiulza kwanini Coach ajiuzulu?
      Ni kweli uongozi upo kama tunavyodhani?

      #Sio kawaida Coach kujiuzulu haswa Kwa apa Tanzania!

      Reply
    9. Lenn boe on April 27, 2024 2:57 pm

      Watajuta kwann benchika kaondoka’coz benchika ni moja kat ya walim bora baran afrika..na isitoxhe alishaanza kulizoea lig la bongo …pale simba problem ni uongoz….👈👈

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.