Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Tano
“Ahsante Jirani, ndio ukubwa huu”ย
“Lakini Veronica unatakiwa kuwa makini sana na Mama yako!”
“Kwanini?”ย
“Mama yako ana sifa mbaya hapa mtaani, inasemekana yeye naย Kaka yake wanashiriki ushirikina”ย
“Unamaanisha Mama yangu ni Mchawi?”ย Endelea
SEHEMU YA SITA
“Ndio, mtaa mzima unalijua hilo ndio maana nakutaka uweย makini kujiepusha na uovu dhidi yako, hushamgai jinsi maishaย yenu yalivyobadirika?” Ilinibidi nikae mkao, maana tulikuwaย tukipiga stori kibarazani kwa yule jirani ambaye ni mdadaย aliyenizidi umriย
Maneno yake yakaanza kuniingia akilini, nilipokumbuka kuhusuย lile shuka lenye damu ya bikra yangu ndio nikaanza kuyaaminiย kabisa yale maneo na jinsi ambavyo Nyumba yetu ilikuwaย imekarabatiwa na kuwa nzuriย
“Kwahiyo mtaa mzima hizi habari zimeenea?”ย
“Muulize yeyote atakwambia na kama atakuficha basi ni kwaย woga tu lakini ndio hivyo, tena inasemekana wewe ndio hazinaย yao”ย
“Mimi hazina kivipi?”ย
“Veronica hayo mengine ni bora uyachunguze maana usikute niย maneno tu ya Watu”ย
Nilitafakari kwa kina lile jambo, nikaona sio bure lipo jamboย linaloendelea kati ya Anko Sanga na Mama yangu! Nilipoinuaย macho yangu nilimuona Mama akinitazama! nilitabasamu kamaย vile hakuna kilichoongelewa kisha akaniita.ย
“Jirani baadaye!”ย
Nilienda nyumbani, Mama alinikalisha sebleni na kuniambiaย
“Kuwa makini na hawa watu wa hapa, ni wambea naย wachonganishi. Usikute wanakuonea wivu huo ujauzito!”ย
“Aah! Mama jamani hapana”ย
“Sasa alikuwa anakwambia nini pale zaidi ya umbea maanaย nimewatazama muda mrefu”ย
“Tulikuwa tunaongelea mambo ya zamani tu, alikuwaย akinikumbusha mambo yaliyopita”ย
“Anhaa! kumbe”
“Mama nataka Jonas aje huku maana nabakia peke yanguย unapokuwa haupo, inanipa shida sana” Mama alitafakari kwaย sekunde kadhaa kisha akaniambia sawa!ย
Nilimpigia simu Jonas na kumwambia asafiri kuja Arusha kukaaย na mimi hadi pale nitakapojifungua. Wakati naongea na Jonasย Anko Sanga alikuwa akipokelewa na Mama nje, nilipoendaย kuchungulia ndio nikamuonaย
“Kuna nini?” Aliniuliza Jonas baada ya kuniona nimezubaaย kwenye simuย
“Anko Sanga yupo nje”ย
Simu ilipokatika nilimsalimia Anko Sanga, Mama akapelekaย mabegi ya Anko Sanga chumbani kwake, ilinipa mashaka kidogoย ya kwanini yale mabegi yapelekwe chumbani kwa Mama na sioย kwenye chumba kingine?ย
Nilishusha pumzi na kujisemea nitajua mwisho wa hili jambo niย nini!ย
Mama aliandaa chakula kizuri sana siku hiyo, alifanya kaziย zote huku akinitaka nipumzike maana uchovu ulikuwaย ukinitawala mara kwa mara, alitengeneza na juisi ya matunda,ย tulikula kwa pamoja baada ya pale nilielekea chumbani kwanguย kulala.ย
Kabla sijapitiwa na usingizi niliongea na Jonas akaniambiaย kesho yake ndio ataanza safari ya kuja Arusha kamaย tulivyoongea.ย
Nililala hadi majira ya Usiku, nilipoamka nilikuta Missedย Call nyingi sana, zilikuwa ni missed Call za yule jiraniย maana alinipatia namba ili kama kuna tatizo niweze kumjulishaย anisaidie!ย
Kwakuwa nilikuwa mchovu sana nilisubiri nioge kwanza ndipoย niwasiliane nae, nilipomaliza nilimpigia lakini hakupokeaย simu.ย
Asubuhi Mapema nilienda kwake kumuulizia lakini niliambiwaย amepelekwa Hospitali baada ya kuanguka ghafla Usiku, akiliย ikarudi kwenye zile Missed Calls nikajua pengine alikuwa naย tatizo kubwa ndio maana alinipigia.ย
Nilijivuta hadi nyumbani, Mama ndio kwanza alikuwa akiamkaย akaniuliza kama usiku nilisikia kelele za Jirani nikamwambiaย hapana akasema Jirani alikuwa akipiga kelele akaanguka naย kupoteza fahamu, sikutaka kumuuliza zaidi.
Niliendelea na shughuli zangu, Mama aliniaga akaondokaย nikabakia na Anko Sanga pale nyumbani, wakati Mama ananiagaย nikasema wasije wakawa wamepanga njama nyingine hawa?ย Aliniacha nikiwa nimekaa sebleni, alipoondoka tu Mama Ankoย Sanga alikuja pale sebleni akanikuta nimejilaza zangu kwaย kujiachia maana uajuzito ulinipelekesha mno.ย
Alinisalimia lakini sikumchangamkia maana niliogopa asjieย akanifanya jambo baya!ย
“Naona umekaa hapo kwa raha zako Anko?”ย
“Eeh! nimechoka tu napumzika hapa”ย
“Hivi Mumeo anakuja lini?”ย
“Naamini Mama amekueleza kuwa ni leo!”ย
“Hapana hatujaongelea jambo hilo kabisa, nilipokuonaย nimekumbuka Mlima Kilimanjaro”ย
“Anko Usinitibue! usinikumbushe mambo niliyoyasahau hataย kidogo” nilisema kwa ukali, sikutaka mazoea nae kabisaย
“Hasira za nini Veronica? Huutaki tena huu?” alichojoa tauloย lake na kunionyesha Dudu lake refuย
“Hivi Anko una nini wewe? Baada ya yote uliyonifanyia unatakaย kunidhihirishia kuwa wewe ni mshenzi si ndio?”ย
“Uko wapi ushenzi wangu Veronica? kila nikikumbuka jinsiย nilivyoutoa usichana wako najikuta nikiwa na raha sana, Jonasย anabakia kuwa Mwanaume wako wa pili baada yanguย mimi…husikii raha?”ย
“Kwa jinsi ulivyo shetani unaongea upumbavu mbele ya Mtoto waย Dada yako, kimekuleta nini hapa?”ย
“Nimekuja kwa ajili yako Veronica, nimekuja kupigania penziย langu kwasababu inawezekana hicho kiumbe ni changu na sio chaย Jonas”ย
“Ishia hapo hapo tena ushindwe na ulegee kwa jina la Yesuย Kristo” Mara Mama akawa ameingia wakati huo Anko Sangaย alikuwa amerudi Kuketi kwenye Sofa akiwa amevalia Taulo naย tisheti nyeusi.ย
“Eeh! ndio unaamka Kaka?”
“Ndio yaani nimechoka kweli kweli, nilikuwa naongea na Bintiย yangu hapa”ย
“Haya ngoja niandae chakula cha mchana” Yalikuwa ni maneno yaย Mama yangu aliyekuwa amebeba Mfuko, akaingia zake Jikoni.ย
Simu ya Jonas ndiyo ilinifanya niache kuwafikiria Mama naย Anko Sanga, Jonas alikuwa tayari amefika Arusha kwa ndege,ย nilifurahi kusikia Jonas amefika Arusha angalau niliuonaย Mwangaza wa uhai wa maisha yangu na Mtoto wangu!ย
Nilimpokea Jonas kwa bashasha zote hadi chozi lilinitokaย akaniuliza ni kwanini ninalia, nilimjibu nina furaha sana.ย
Nilimkumbatia na kumpiga mabusu kama yote. Mama hakuonyeshaย chuki dhidi ya Jonas kabisa, wala Anko Sanga hakuonyeshaย chuki kwa Jonas, waliongea kama Watu wazuri wenye malengoย mema ya ndoa yetu.ย
Usiku ulipoingia kila kitu kikawa kimebadirika, wakati Jonasย anatoka chooni alikutana na Mama, akamwambia waende sebleniย kuzungumza. Jonas alipotaka kuingia chumbani ili avae vizuriย Mama alimzuia na kumwambia haina shida.ย
Usiku huu nilikuwa chumbani nachezea simu yangu nikiwaย ninamsubiria Jonas arudi kutoka bafuni, niliona akikawiaย kurudi.ย
Walipofika Sebleni Mama alimtaka Jonas akae kwenye sofa naeย alifanya hivyo hivyo, mazungumzo yao yalianza. Mamaย alimueleza Jonas aniache kwasababu hakuwa chaguo lakeย
“Nawezaje kumuacha Mtu ninayempenda Mama?”ย
“Unampenda sawa lakini wewe sio chaguo langu kumuoa bintiย yangu, nilifanya vile ili tu kumridhisha huku nikitambua niniย cha kufanya”ย
“Mama unakosea sana! Veronica ndio chaguo langu sahihi naย tunapendana sana hata wewe ni shuhuda wa hili” Wakati waoย wakiendelea kuongea sebleni, Mlango wa Chumba changuย ilifunguka kwa taratibu, taa ilikuwa imezimwa hivyo nilihisiย atakuwa ni Jonas, Kumbe alikuwa ni Mjomba Sanga akiwaย amevalia bukta tuu.ย
Niliendelea kuchezea simu lakini kilichonishtua ni manukato,ย nilitambua kuwa aliyeingia hakuwa Jonas bali ni Anko Sanga,ย alikuwa ameshikilia kisu mkononi akinitaka nifanye naeย Mapenzi.
“Ukipiga kelele nakuuwa hapahapa” Alisema hivyo huku akiwaย ameniziba mdomo.ย
Mapigo ya moyo yalienda mbio sana, Aliponiachia nilihema juuย juuย
“Anko usinifanyie hivyo tafadhali, Mume wangu yupo hapaย utanisababishia matatizo”ย
“Nimesema ukipiga kelele nakuuwa hapa hapa” alizidi kunitishaย na kunifanya niwe muoga, nilifikiria nikaona nisiwe mbishi!ย Nilimfunulia ili afanye anachojisikia kunifanya.ย
“Hivi unawezaje kumg’ang’ania Mtu anayempenda mwingine?”ย Alisema Mama akijua fika kuwa Anko Sanga alikuwa kuleย Chumbani akinifanya na ujauzito wangu!ย
“Unamaanisha nini?” Jonas alikuwa amesimama ili aondokeย lakini ile kauli ilimsubirisha alitaka asikieย ย
kilichomaanishwa kwenye ile kauli ya Mamaย
“Wewe ni kijana mzuri, unapesa unatakiwa kuwa na Mtu sahihiย lakini sio Veronica kwasababu anampenda Mtu mwingine, hataย ule ujauzito sio wa kwako bali ni wa Huyo Mtu” alizidiย kukipalia makaa ya moto kichwa cha Jonas.ย
“Wewe hustahili hata kuitwa Mama, huwezi kuongea kauli hizoย kwa Mkweo”ย
“Haya nenda huko chumbani ndio utaamini Maneno yangu”ย
“Sidhani kama nitakuheshimu tena” Alisema Jonas huku akijaย Chumbani ambako Anko Sanga alikuwa akinifanya kwa lazimaย
“Tutaona kati yangu mimi na wewe ni nani anastahili pongeziย kwenye hili” Aliongea Mama kwa sauti ya kumsindikiza Jonasย chumbani, akiwa ameshikilia kitasa aligeuka na kumtazama Mamaย kisha aliingia mle chumbani, akasikia purukushani ikambidiย awashe taa sasa.ย
“Veronica?” aliita kwa mshangao na mshituko mkubwa akiwaย ananitazama nikiwa nafanywa na Anko Sanga, kuona vile Ankoย Sanga akakimbiaย
“Veronica nini hii?” Aliuliza tena Jonas akiwa ametahamakiย kweli kweli, nilikuwa nikilia tu kitumbo kikiwa kimetuna
“Nilikwambiaje?” Sauti ya Mama ilisikika, yaani Mama aliamuaย kunionesha chuki za waziwazi, kilio kiliongezekaย
“Ahsante sana! Nahangaika kwa ajili yako kumbe una Mtuย unayempenda na kumpa penzi popote atakapo, uliniita huku iliย unioneshe ushenzi wako” Aliongea Huku akitia baadhi ya vituย vyake katika begi, kiukweli ile aibu sikuwahi kuipata katikaย Maisha yangu! Sikuwa na ujasiri wa kuongea hata kujitetea.ย
Jonas aliondoka zake usiku uleule, aliniacha katika giza naย dimbwi la mawazo, sikupata usingizi nilikesha nikilia Usikuย kucha hadi kulipo pambazuka. Anko Sanga aliingia chumbaniย asubuhi, alinikuta bado nikiwa ninalia kwa uchunguย
“Pole sikujua kama ingelikuwa hivi Veronica”ย
“Hivi nyie ni Watu au majini? mbona siwaelewi ni ndugu zanguย kweli ninyi au mliniokota huko na kunilea, Wewe na Mama niย wakunifanyia hivi kweli?” Nilisema hakunijibu, Mara Mamaย akaingia na kutukuta tukiwa chumbani.ย
“Mpango wenu umeenda sawa leo, lakini ipo siku hautaenda kamaย mnavyotaka ninyi” Nilimwambia Mama, Chakushangaza akaniambiaย sitakiwi kutoka ndani kuanzia muda uleย
“Chochote mtakachopanga dhidi yangu hakitafanikiwa, hivi Mamaย kweli unanifanyia hivi binti yako?”ย
Mama aliondoka na Anko Sanga wakiwa na siri kubwa yaย wanachonifanyia lakini Jirani alishanidokeza kuwa Mama yanguย alikuwa Mshirikina, kila Anko Sanga alivyofanya mapenzi naย mimi alikuwa akizidi kutajirika.ย
Hakujali kama nilikuwa mjamzito alinifanya atakavyo ili tuย awe tajiri na hizo pesa waligawana na Mama yangu Mzazi,ย wakati mwingine alinifanya Mama akishuhudia kila kitu,ย ilikuwa ni laana iliyovuka mipaka. Sikuwa na guvu ya kumzuiaย Anko Sanga na wala sikutaka kupiga makelele kwa kuhofiaย kujidharirisha.ย
Simu zangu walizichukua ili nisiwasiliane na yeyote yule,ย walinipa vitisho kuwa nikipiga kelele wataniuwa. Maishaย yalibadirika sana, Mama na Anko Sanga wakawa matajiri sana.ย
Ulipofika muda wa kujifungua nilijifungua mtoto wa kikeย niliyefanana nae sana, nilimpa jina la Moyo, nilimlea Mtotoย wangu mwenyewe.
Mchezo wa Anko Sanga haukufikia kikomo kabisa, alilala naย mimi kila siku ili azidi kuwa tajiri. Alinichukua nikawaย naishi kwake, Mama yangu ni kama vile alikuwa amerogwa naย pesa alinihimiza sana kumpa penzi Anko Sanga, Mtotoย alipofikisha miezi mitatu nilipata wazo la kutaka kutorokaย nyumbani kwa Anko Sanga ili nimtafute Jonas.ย
Nilimkubalia Anko Sanga kuwa tufunge ndoa ili niwe Mke wakeย na nilifanya hivi ili tu anianini na anipe uhuruย
“Umefikiria nini Veronica?” aliniuliza nikiwa nambembelezaย Mtotoย
“Tutaishi hivi hadi lini? ni bora tuwe Mke na Mume” Alifurahiย sana, akampa taarifa Mama kuwa nimekubali kuolewa na Ankoย Sanga.ย
Mama kwa Ujinga wake alichekelea sana kusikia hivyo,ย walichotaka ni kutimiza mambo yao ya utajiri.ย
“Hii harusi ikafanyikie mbali na hapa Arusha” alitoa wazoย Mamaย
“Kwanini?” niliulizaย
“Naona ndio itapendeza sana” wazo la Mama lilipita bilaย kupingwa na yeyote, nilichotaka ni kuwa Mke wa Anko Sanga naย kumuaminisha kuwa nilikuwa na mapenzi naye ili tu anipe uhuruย nitoroke maana sikuwa na simu na wala sikupata ruhusa yaย kwenda popote zaidi ya kukaa ndani kwenye jumba lake laย kifahari.ย
Basi, ndoa ilifungwa baada ya wiki mbili tu na nikawa Mke waย Anko Sanga huku nikiwa na mawazo ya nini cha kufanya. Nilimpaย penzi atakavyo tena nilikuwa nikimuomba mwenyewe, kilaย alipotaka kuniingilia alipaka mafuta maalum kwenye Dude lake,ย tena wakati mwingine nilimuhimiza kupaka hata aliposemaย tufanye bila kupaka mafuta.ย
“Veronica sasa hivi naona umekunjua roho yako” Alisema Ankoย Sangaย
“Kwanini?”ย
“Unanihudumia kama Mumeo tena kwa hiyari yako”ย
“Mapenzi yana muda husika, mtu unavyomzoea ndipo unapompendaย na kumpa kila kitu”
Alifurahia sana maneno yangu, nikawa nasubiria anipe uhuru waย kutoka, nilijua kucheza na akili yake aliposahau kufungaย mlango nilimkumbusha kuwa aliacha mlango wazi, taratibuย nilianza kumuaminisha kuwa sina nia ya kwenda popote pale.ย
Siku moja aliniletea simu, akanipa bila wasiwasi wowote kumbeย ile simu aliiunganisha na simu yake, naye alikuwa mjanja sanaย japo nilibadirika lakini hakuniamini, siku zote hizi nilikuwaย nikisali ili Mama yangu arudi kwenye akili za kibinadamu,ย ย
niliamini kuwa siyo akili yake ile kwa jinsi alivyonilea.ย
Anko Sanga alipohitaji pesa alifanya mapenzi na mimi lakiniย alipohitaji starehe alistarehe na Wanawake wengine, wengineย niliwaona kabisa wakija pale nyumbani, haikuniuma kabisaย kwasababu sikumpenda lakini nilijifanya kumuonea wivuย
“Unanifanyia huvi au sikuridhishi? unataka nikupe nini weweย Mwanaume?”ย
“Veronica usisahau kuwa nimekuoa kwa kazi gani, unatakiwaย kuniletea pesa na sio mapenzi”ย
“Hata kama lakini unapaswa kutambua jinsi ulivyonibadirishaย hadi nimekupenda”ย
“Nimesema fanya kazi yako!” Alikuwa na majibu ya dharau mno,ย nilimvumilia sababu nilijua nataka nini!ย
Ile simu ilikuwa ndogo tu yaani ya kitochi, hivyo ilikuwaย ngumu kwangu japo kupata namba za Jonas wala za marafikiย zangu niliosoma nao kama Konzo, Siku moja alirudi akiwaย amelewa, alikuwa na Mwanamke mmoja ambaye jinsiย alivyozungumza alikuwa hajalewa kabisa.ย
Siku zote kila alipoleta Mtu alikuwa akinifungia chumbani naย kustarehe chumba Kingine, nikiwa mle chumbani nilipata harufuย ya Sigara alafu nikasikia sauti ya Mwanamke akiongea kuwaย
“Nalala huku huku asubuhi anipe changu, kalewa chakali”ย nilisikia sauti hii niliitaย ย
Nini Kitaendelea? Usikose SEHEMU YA SABA
JIUNGE NA KIJIWENI WHATSAPP CHANNEL Kwa Kugusa Hapaย
Soma Riwaya Nyingine Za Kijiweni Kwa KUGUSA HAPA
Wewe kama MFANYABIASHARA.. Kuna wakati unatamani kuwafikia watu wengi zaidi na hujui wapi pa kuanzia , USIJALI kwani hapa ndipo ambapo MTAA UNAONGEA na tuko tayari kukusaidia kuwafikia watu wengi kwa BEI YA OFA
Njoo Utangaze Nasi Sasa Kwa Kutuambia Una TANGAZO Gani na unataka kutangaza kwa muda gani kwa kutuma ujumbe hapa WwhatsApp Kupitia Namba +255760871896ย
8 Comments
Mbn unatuma vpande vfupi
Damn vero
Endelea pls
Hadithi nzuri sana
Kumechangamka tyr
Daaaah Huruma Kwa Vero
Jmn Hadith nzuri muendelezi plzzz
Iyendelee