Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Azam vs Simba : Mgunda Alimbana Kocha Dabo Hapa
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Azam vs Simba : Mgunda Alimbana Kocha Dabo Hapa

    Oscar EvodiusBy Oscar EvodiusMay 9, 2024Updated:May 10, 20247 Comments2 Mins Read990 Views
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Kocha wa Simba
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Matumizi ya Nafasi yameamua Dakika 90 za Kasi na Ufundi kwa Timu zote mbili. Azam wakitumia zaidi pembeni huku Simba wakitumia Katikati na upande wa kushoto zaidi

    2-3-2-3 ya Azam FC in Build-up(Fuentes & Bangala as CBs then Zaydi, Akaminko + Chilambo/Msindo lakini pia wanabadilishana kucheza as AM na Fei Toto mwisho Syllah, Kipre + Iddi Nado ambao waliunda mstari wa watu wanne pia Azam ilipocheza 2+3+1+4)! Wapi walipata ugumu?

    1. Kuzuia MH15 & Mwenda wasicheze karibu na Runners wao(Chasambi na Balua) hii ikafanya Musindo & Chilambo kuacha space kubwa baina yao na Kipre, Iddi Nado & Syllah hali iliyowapa urahisi viungo wa Simba kuzuia uhatari wa Azam kuanzia mstari wa katikati
    2. Azam walikuwa wanaacha spaces kubwa sana baina ya mchezaji mmoja na mwingine + kukosa uharaka kwenye Transition (Ngoma, Kanoute na Mzamiru wakapata machaguo mengi na kukimbia eneo kubwa la uwanja)

    Simba kwenye Build-up yao walitumia 2-3-2-3(CBs wawili juu yao Ngoma + Israh & MH15 then Kanoute & Mzamiru mwisho Freddy, Balua na Chasambi)! Simba Leo walipata njia za kupiga pasi kwenda mbele shida ilikuwa kwa L/RWs wao ambao kwenye 1 vs 1 walipata ugumu mbele ya FBs wa Azam FC + Fuentes na Bangala ambao pia walisogea pembeni kuziba makosa ya wenzao

    2ND Half! Kila Timu ikaongeza kasi hasa wakivuka mstari wa katikati Simba wakaanza kufanya Quick Transition kupitia katikati huku Azam FC wakati huo ndio wanakosa hicho kitu! Simba wakatumia vizuri nafasi walizopata Dakika 45 za pili kumaliza mchezo wa leo.

    THIRD EYE. 📝

    • Juma Mgunda nahisi kama kuna sehemu anafanikiwa sana pale Simba basi ni Dressing Room. I THINK.
    • Mzamiru Yassin wa Mgunda huwa ni mwingine kabisa
    • Balua & Chasambi good players, wanahitaji dakika nyingi tu za kucheza
    • Sadio Kanoute ni mzuri sana akicheza karibu na Box la mpinzani ✅
    • Ayoub Lakred saves & confidence! Chilambo ✅! Msindo what a Fullback
    • Yahya Zaydi ni vile Azam wamepoteza mechi tu! Freddy Koublan kwa sasa kajiamini tayari! Che Malone ✅
    • Mohamed Hussein (MH15) jasho lake Yule Fuentes Mendoza ni mtu sana

    NB:Leo Mtani kufurahi Mnyama kushinda

    FT: AZAM FC 0-3 SIMBA SC

    Wewe Ni Mwandishi? Unapenda kuendeleza Taaluma yako ya uchambuzi kwenye masuala ya michezo? Mtandao wa uchambuzi wa michezo kijiweni.co.tz unakupa uwanja wa kuendeleza kipaji chako na kufikia maelfu ya wapenzi wa michezo Tanzania na nje ya Tanzania.

    Tutumie makala au uchambuzi wa michezo katika barua pepe hii [email protected] 

    azam 0 simba 3 azam vs simba juma mgunda simba magoli yote azam vs simba simba sc

    7 Comments

    1. Bestie loyer on May 9, 2024 9:15 pm

      Simba wamepata coach labda wapiganie no mbili hapo

      Reply
    2. Mr unknown on May 9, 2024 9:16 pm

      Juma mgunda ameanza na wakat mzuri wakuweza kuinyanyua simba kuweza kushikilia nafasi ya pili

      Reply
    3. Bestie loyer on May 9, 2024 9:17 pm

      Mwananchi ni mmoja túu sio wawili kwa hiyo wengine kaa kwa kutulia

      Reply
    4. Valence on May 9, 2024 9:18 pm

      Mimi kama mwananchi nimefurahi sana Fei toto na watoto wenzake kuzimwa na kulambishwa Ice cream zao

      Reply
    5. Fatihu Salim gilla on May 9, 2024 9:20 pm

      Tuwapeni muda makocha wazawa tuone watafanya nini kwenye vilabu vyetu🙏

      Reply
    6. Ibra on May 9, 2024 9:25 pm

      Mgunda anatosha ,,,tumor timu walau misimu miwili tutafika mbali

      Reply
    7. Paulo Tunduye on May 10, 2024 12:15 am

      Mm bado najua simba inaweza tena sana na watafanya kitu tuu amini mm

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.