Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Msemaji Ahmed Ally Akizungumza na Mashabiki wa Simba SC
    Africa | CAF

    Msemaji Ahmed Ally Akizungumza na Mashabiki wa Simba SC

    Brenda UlomiBy Brenda UlomiNovember 22, 2023No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally leo akizungumza na Mashabiki kuelekeza mchezo wao dhidi ya Asec Mimomas hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

    Akizungumza na Matawi kama hamasa kwa mashabiki kukata tiketi na kuhudhuria mchezo huo kwa wingi siku ya Jumamosi, Uwanja wa Benjamini Mkapata

    “Wanasimba amshaamsha kuelekea Jumamosi tutainza leo pale Vingunguti kuanzia saa 4 asubuhi. Njoo tufurahi na tukate tiketi”

    “Jumamosi mapema Wanasimba tunakutana uwanjani kushangilia timu yetu. Kamata tiketi yako sasa. Tarehe 25 ni tarehe ya kila Mwanasimba kwenda uwanjani.”

    “Timu iko vizuri kwenda kushinda mchezo wa Jumamosi. Hakuna timu yoyote ambayo inaweza kutusumbua kwenye Uwanja wa Mkapa. Tumedhamiria kushinda na hatuwezi kufanya hivyo bila shabiki bora kuwepo uwanjani.”

    “Sisi tuna uchungu na timu yetu na ili kuonyesha kweli tunauchungu lazima tuisaidie timu kushinda Jumamosi. Wabaya wetu wanawekeza nguvu kubwa kutukejeli ili tupoteze mwelekeo na mchezi wa Jumamosi lakini Simba tumeshakuwa wakomavu, tutahakikisha tunapata ushindi mbele ya Asec Mimosas.”

    “Wachezaji wameshatuahidi kwenda kuipambania timu yetu. Kilichobaki ni sisi mashabiki kwenda uwanjani, tumeshaujaza mara nyingi uwanja na Jumamosi tunataka hivyo.”- Ahmed Ally.

    Lengo kubwa la hamasa hii kuhakikisha mashabiki wote wa Simba SC wanajitokeza kwa wingi kukata tiketi za mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Afrika pamoja na kujitokeza uwanjani

    Soma zaidi: Habari zetu kama hizi hapa

    jumamosi mimosas Simba
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.