Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Simba Yashusha Straika wa Mabao, Kutambulishwa Muda wowote
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Simba Yashusha Straika wa Mabao, Kutambulishwa Muda wowote

    David MohamedBy David MohamedJune 12, 20231 Comment1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Simba SC Imenoga! Ipo kwenye hatua za mwisho kabisa kukamilisha usajili wa mfungaji bora wa Ligi Kuu Rwanda, Leandre Essomba Willy Onana.

    Straika huyo wa Rayon Sports tayari ameshatua Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha dili hilo la kuja kuichezea miamba hiyo ya Msimbazi kwa msimu wa 2023-2024.

    Kinara huyo wa mabao kwa msimu wa 2022-23, alitikisa nyavu mara 16 kwenye ligi na kinachoelezwa tayari ameshafanyiwa vipimo vya afya jana Jumapili na asubuhi ya leo Jumatatu anatarajia kusaini mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kukipiga rasmi na unaweza kusema Simba SC Imenoga!.

    Mcamerooni huyo alitua Kigali Septemba 2021 kama sehemu ya takriban wachezaji 50 walioenda Rayon Sports kwa majaribio katika dirisha hilo la uhamisho.

    Simba SC imenoga

    Kabla ya kwenda Rayon Sports kwa majaribio, Essomba alijizolea umaarufu mkubwa nchini kwao akiwa na klabu ya Ending Sport FC, inayojulikana huko Cameroon kwa kukuza vipaji vya vijana.

    Katika msimu wake wa kwanza akiwa na Rayon, fowadi huyo mwenye umri wa miaka 22 alifunga mabao 10 ya ligi lakini kiwango chake kizuri katika msimu wa 2022/23 kilishuhudia idadi ya mabao yake ikiimarika, akifunga mara 16 kwenye ligi na mabao manane kwenye Kombe la Amani.

    Kwa taarifa zaidi za usajili duniani tufuatilie hapa.

    cameroon essomba onana habari za usajili rayon sports simba sc tetesi za usajili

    1 Comment

    1. 888slot on January 12, 2026 2:23 am

      Nhắc đến sân chơi giải trí trực tuyến uy tín, không thể bỏ qua 888slot . Nhà cái sở hữu kho trò chơi phong phú từ thể thao, casino live đến slot game hiện đại, tỷ lệ trả thưởng cạnh tranh, mang lại trải nghiệm cá cược mượt mà và minh bạch. TONY01-06S

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Stori Mpya January 31, 2026

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha Nne 2025, kiwango cha ufaulu chafikia asilimia 94.98 Baraza…

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    In the name of LOVE – 12

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.