Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home » Sopu amvizia Diarra, Aahidi Kumfunga tena
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Sopu amvizia Diarra, Aahidi Kumfunga tena

    David MohamedBy David MohamedJune 2, 2023No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Mshambuliaji kinda wa Azam FC, Abdul Sopu amesema kwa sasa wao kama wachezaji wanafanya maandalizi ya kumaliza msimu kwa kushinda mechi zilizosalia huku akimweka kiporo kipa wa Yanga, Djigui Diarra.

    Abdul Sopu ambaye kwa msimu uliopita aling’ara kwenye fainali ya Kombe la Azam Sport Federation Cup ilipowakutanisha Yanga na Coastal Union kwa kuweka rekodi ya mshambuliaji wa kwanza kumfunga kipa huyo mabao matatu kwenye mchezo mmoja, lakini pia alifanikiwa pia kumfunga mabao mawili kwenye ligi.

    Abdul Sopu akiwania mpira dhidi ya Sure boy

    Huyu ndiye mshambuliaji ambaye amefanikiwa kumfunga Diarra mabao mengi kuanzia alipotua hapa nchini na wanakutana tena kwenye fainali mkoani Tanga.

    Mshambuliaji huyo amesema nje ya maandalizi ya michezo ya Ligi lakini fainali hiyo ataibeba kwa uzito na kuandika historia nyingine akiwa na Azam.

    “Sasa hivi tunazingatia sana kushinda mechi mbili za ligi ili tumalize bila ya kufungwa bada ya hapo ndiyo nitaanza kuwaza fainali kwa kuwa kila kitu ni mipango,” alisema Sopu ambaye alipoulizwa kama ana mpango wa kumfunga tena Diarra alisema hilo analiweka kiporo kwanza.

    Hii inakuwa fainali ya pili kwa Sopu kucheza dhidi ya Yanga baada ya ile ya msimu uliopita ambapo walivaana akiwa anaitumikia Coastal na wakalala kwa mabao 4-3.

    Kwa taarifa zaidi endelea kutufatilia hapa.

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Hadithi June 9, 2025

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Tisa-09)

    Ilipoishia Return of Faudhia sehemu ya nane  “Safi” sauti ya pili nayo ilisema kutokea chumba…

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Nane-08)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Saba-07)

    Return Of Faudhia ( Sehemu Ya Sita-06)

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2025 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.