Close Menu
Kijiweni

    Subscribe to Updates

    Get the latest updates from Kijiweni.

    Za moto

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    Facebook X (Twitter) Instagram
    • Wasiliana Nasi
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest Vimeo
    Kijiweni
    • Home
    • CAF
    • Soka la Bongo
    • Ulaya
    • Chuo Cha Kubeti
    • Hadithi za Kijiweni
    • Forum
    Kijiweni
    You are at:Home ยป Moses Phiri sasa uhakika Simba, Anena na Kocha
    Ligi Kuu | Soka la Bongo

    Moses Phiri sasa uhakika Simba, Anena na Kocha

    David MohamedBy David MohamedJune 1, 2023No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest Telegram LinkedIn Tumblr Email Reddit
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Email

    Zilikuwepo taarifa za straika wa Simba, Moses Phiri kutaka kusepa kutokana na kushindwa kupata nafasi kikosi cha kwanza baada ya kutoka kuuguza majeraha, upepo umebadilika staa huyo ataendelea kusalia Msimbazi.

    Imeelezwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salum Abdallah ‘Try Again’ alimwita Phiri na kumkalisha chini, ili kumweleza bado wanamhitaji kwenye kikosi, hivyo wakakubaliana kwa amani na sasa staa huyo bado yupo Msimbazi.

    Moses Phiri

    “Uongozi umemwomba Kocha Roberto Oliviera ‘Robertinho’ kukaa na staa huyo ili wamalizane vizuri kama ilivyokuwa kwa kiungo Clatous Chama na lengo ni kuona tunaendelea kumuona hapa msimbazi,” kilisema chanzo hicho.

    Alipoulizwa Moses Phiri alisema: “Bado ni mchezaji wa Simba, nina mkataba wa mwaka mmoja baada ya kumalizika msimu huu, msimu ujao bado nitaonekana nikiwa na jezi nyekundu kuitumikia klabu yangu.”

     

    Leave A Reply Cancel Reply

    Social Media Image
    Top Posts
    UEFA EURO 2024 Trophy

    Yote Unayopaswa Kufahamu Kuhusu UEFA EURO 2024 German

    May 30, 202425K Views
    Ligi Kuu

    Hii Vita Ya GAMONDI Na FADLU Inaichangamsha Vipi Ligi Kuu?

    October 3, 202417K Views

    Chama, Aziz Ki Na Pacome Watachezaje Yanga?

    June 27, 202414K Views

    Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBCPL) 2024/2025

    August 9, 202413K Views
    Don't Miss
    Stori Mpya January 31, 2026

    Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2025

    NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha Nne 2025, kiwango cha ufaulu chafikia asilimia 94.98 Baraza…

    AFCON

    Ratiba ya kusisimua ya 16 Bora yakamilika AFCON Morocco 2025

    Hapa MSUVA Pale MPENJA Ofa Kibao Kutoka LEONBET

    In the name of LOVE – 12

    Stay In Touch
    • Facebook
    • X
    • Pinterest
    • Instagram
    • YouTube
    • Vimeo

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from Kijiweni.

    © 2026 Kijiweni. A Product of Jamii Media.
    • Home
    • Wasiliana Nasi

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.