Ligi Kuu ya Hispania
Sevilla vs Leganes -> Under 1.5 mapumziko (U1.5 FH).
Ubashiri huu una odds 1.25.
Sababu.
Historia inaonyesha human hawafungani mabao mengi. Kwa hiyo, tusitarajie wafaungane zaidi ya bao moja hadi mapumziko.
Espanyol vs Betis -> Espanyol kushinda au sare (1X).
Ubashiri huu una odds 1.53.
Sababu.
Kiwango cha Betis ni moto wa kuotea mbali lakini wana kibarua Italia dhidi ya Fiorentina kwenye mashindano ya Uropa ligi. Hivyo, tuwatarajie watawapumzisha wachezaji wao maana ushindi wao wa nyumbani ni mwembamba.
Real Madrid vs Celta Vigo -> Both Teams to Score – GG
Ubashiri huu una odds 1.57.
Sababu
Kiufungaji uwezo wa timu zote mbili unashabihiana. Celta Vigo kama aliweza kufunga mabao matatu dhidi ya Barcelona ugenini ni dhahiri watapata bao. Khali kadhalika Real Madrid akicheza kwao atapata bao.
Jingine timu zote hizi hucheza mpira wa kushambulia. Hivyo, hawataweza kuzuiana wasifunge mabao.
Real Sociedad vs Bilbao -> Real Sociedad atalazimisha sare au kushinda (1X).
Ubashiri huu una Odds 1.35
Sababu
Bilbao aliyefungwa tatu mtungi na Manchester United kwa hiyo itabidi akazane na ligi ya nyumbani maana Old Trafford hawezi kutengua matokeo. Tatizo uchovu utamzuia kumfunga Real Sociedad ambaye mechi iliyopita kwenye uwanja huu alifungwa mabao matatu mtungi. Kiwango cha Real Sociedad kiko chini lakini atapata angalau sare au kushinda.
Ligi Kuu ya Italia.
Roma vs Fiorentina -> Mshindi Roma au sare (1X).
Ubashiri huu una Odds 1.15
Sababu:
Fiorentina ana kibarua nyumbani dhidi ya Betis mechi ya awali alipoteza. Kipaumbele cha Fiorentina ni ligi ya ulaya. Tatizo siyo rahisi kumpa ushindi Roma kwa sababu amekuwa akishindwa kufunga mabao mengi. Ndiyo maana tunaweka anaweza kushinda au sare.
Bologna vs Juventus -> Bologna kushinda au sare (1X).
Ubashiri huu una Odds 1.34
Sababu.
Mara ya mwisho walitoka sare lakini kiwango cha Bologna kimepanda wakati cha Juventus kimeshuka. Uwezekano wa Bologna kushinda ni mkubwa lakini historia yao inatushawishi tucheze nyumbani au sare.
Monza vs Atalanta -> Monza mabao yake chini ya mawili (Monza Under 2.5)
Ubashiri huu una Odds 1.14
Sababu.
Historia inaonyesha Atalanta atashinda lakini mechi ya kesho ina umuhimu wa kipekee kwa Monza. Monza akifungwa anashuka daraja kwa hiyo ana msukumo wa aina yake ya kuishinda hii mechi. Lakini tunajua hata akipata bao hawezi kufunga mabao mawili. Hivyo ndiyo maana Monza tumempa chini ya kufunga mabao mawili.
Empoli vs Lazio -> Lazio atashinda au sare (2X).
Ubashiri huu una Odds 1.21
Sababu.
Empoli yuko kwenye mtihani mgumu wa kushuka daraja ma anahitaji angalau sare kwa Lazio ambayo ilimfunga mabao mawili kwa nunge kwenye uwanja huu watakaochezea. Uwezekano wa sare upo pia kutokana ma mazingira magumu ya Empoli. Hivyo, ushindi kwa Lazio au sare.
Ligi kuu ya Ujerumani.
Mainz vs Eintracht Frankfurt -> Ubashiri ni Mainz atafunga bao (Mainz Over 0.5)
Ubashiri huu una Odds 1.26
Sababu.
Historia yao inaonyesha ni sare lakini Eintracht Frankfurt hatashindwa kufunga goli.
Freiburg vs Bayer Leverkusen -> Bayer Leverkusen atashinda au kulazimishwa sare.
Ubashiri huu una Odds 1.34
Sababu
Freiburg yuko vizuri lakini historia inampa kisogo.
Augsburg vs Holstein Keil -> Augsburg anashinda au sare (1X)
Ubashiri huu una Odds 1.23
Sababu.
Kiwango cha Augsburg siyo utani. Hata hivyo, kujihami ndiyo maana tuntegeshea ushindi nyumbani au sare.
Ligi ya Ufaransa
Auxerre vs Le Harve -> Auxerre kushinda au sare (1X)
Ubashiri huu una Odds 1.32
Sababu.
Kiwango cha Auxerre kiko.juu sana na wanapaswa kushinda hii mechi lakini pia sare yawezekana.
Lille vs Marseille -> Mabao zaidi ya mawili kufungwa (Over 1.5)
Ubashiri huu una Odds 1. 23
Sababu.
Pamoja na Lille kuelekea kama Lille atashinda lakini kwa vile watakuwa wanapigania nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa wa ya ulaya tutegemee mabao ya kutosha.
Lyon vs Lens -> Lyon kushinda (1)
Ubashiri huu una Odds 1.55
Sababu.
Pamoja ma historia kumpigia debe Lens lakini kiwango na idadi ya majeruhi inabidi temperature ushindi Lyon.
Brest vs Montipellier -> Brest kushinda (1)
Ubashiri huu una Odds 1.39
Nantes vs Angers -> Mechi hii Under 3.5
Ubashiri huu una Odds 1.33 Asian Under/ Over market.
Sababu.
Nantes na Angers huwa hawafungani mabao mengi na kwa hiyo U3.5 ipo mahali yake.
Ligi ya Ureno.
Sporting vs Gil Vincente -> Sporting Lisbon kushinda lakini Odds kiduchu. Ubashiri ni Over 2.5
Ubashiri huu una Odds 1.41
Sababu:
Timu zote zitapata goli lakini kwa vile Gil Vicente hushambulia basi Sporting Lisbon hatashindwa kuweka kimiani bao la pili na hata na la tatu. Hivyo, O2.5 kuwa na mashiko ya kutosha.
Arouca vs Casa
Casa Pia atafungwa au sare lakini kwa vile atashindwa kufunga mabao mawili tunampa U2.5.
Ubashiri huu una Odds 1.07
Sababu.
Kwa vile, Casa Pia historia alishinda hii mechi kwa bao moja kwa nunge kuondoa utata tumempa chini ya mabao 3. Odds kiduchu lakini mechi hii haitachana mkeka wetu.
Ligi kuu ya uingereza.
Brentford vs Manchester United
Brentford atapata angalau bao moja. Manchester United watapumzisha baadhi ya wachezaji na hivyo kuwaruhusu Brentford kufunga goli angalau moja
Ubashiri huu una Odds 1.14
Sababu.
Historia inaonyesha sare lakini Manchester United ana kibarua na Bilbao wiki ijayo atalazimika kupumzisha wachezaji na hivyo idadi ya mabao ni ya uhakika zaidi kwa Brentford.
West Ham vs Tottenham -> Mshindi West Ham au sare (1X)
Ubashiri huu una Odds 1.31
Sababu
Tottenham ana kibarua cha Uropa hivyo atapumzisha wachezaji wengi hivyo hawezi kutoboa.
Brighton vs Newcastle -> Newcastle atashinda au sare (2X)
Ubashiri huu una Odds 1.41
Sababu.
Brighton kiwango kimeshuka sana pamoja historia inawabeba. Newcastle anataka kucheza ligi ya mabingwa wa ulaya kwa hiyo ana kila sababu na motisha wa kushinda hii mechi.
Chelsea vs Liverpool -> Liverpool kufungwa au sare (1X)
Ubashiri huu una Odds 1.33
Sababu
Liverpool kesha beba kombe hivyo hana sababu ya kushinda. Kwa hiyo, ni sare au Chelsea atashinda. Chelsea ana motisha wa kukazana lakini Liverpool hana.
Jumla ya mechi ni 22
Usisahau ya kuwa akili ya mwenzio changanya na ya kwako usiende mkichwa mkichwa 😃 😀 😄 😁 🤣