Tunaelekea mchezo mkubwa wa ligi kuu Tanzania Bara unaowakutanisha vigogo wa soka kwa hapa Tanzania. Kila mmoja atakua na kikosi chake kichwani kwake sasa tunakupa nafasi hapa kama shabiki wa timu husika panga kikosi hicho kwenye eneo la comment
Unaweza Kusoma Machapisho Yetu Mbalimbali Hapa Kijiweni Pia
