Ligi Kuu ya Hispania

Girona vs Mallorca – Mallorca kushinda au sare

Ubashiri huu una odds 1.69.

Sababu.

Historia inambeba Girona lakini kiwango hoi kwa hiyo tunampa ushindi Mallorca au sare.

Ligi Kuu ya Italia

Genoa vs AC Milan – AC Milan atashinda 

Ubashiri huu una Odds 1.69.

Sababu.

AC Milan sasa hivi hashikiki.

Ligi Kuu ya Argentina.

CA Tigers vs Boca Jrs Boca atashinda au sare.

 Ubashiri huu una Odds 1.31

 Sababu.

 Boca Jrs wako vizuri hawawezi kufungwa.

River Plate vs Velez Sarsfield- River Plate atashinda bila ya shaka yoyote ile.

 Ubashiri huu una Odds 1.44

Sababu.

Kiwango cha River Plate ni moto wa kuotea mbali.

Ligi Kuu ya Korea. 

Gwangju FC vs Sangju Sangmu – Sangju Sangmu kushinda au sare

 Ubashiri huu una Odds 1.41

Sababu:

Pamoja na ukweli mara ya mwisho kwenye uwanja huu Gwangju FC aliibuka kidedea kwa mabao mawili bila lakini kiwango kimeshuka mno. Hataweza kutesa safari hii.

Ulsan Hyundai vs Pohang Steelers – Usain Hyundai kushinda

Ubashiri huu una Odds 1.73

Sababu:

Pamoja na Usain hyundai kushinda lakini kutokana na kiwango chao. Pia Pohang Steelers mechi za ugenini wanasuasua sana. 

Ligi ya Argentina Primera B.

Atletico Fenix vs Villa Dalmine – Atletico Fenix U1.5

Ubashiri huu una Odds 1.29

Sababu:

Wengi wanawapa Villa Dalmine ushindi au sare lakini mechi ya mwisho kati yao kwenye uwanja huu huu Atletico Fenix alishinda bao moja nunge. Wasiwasi wangu pamoja na Atletico Fenix anasuasua lakini mechi yake ya karibuni nyumbani kwake alilazimisha sare dhidi ya Deportivo Lafefere 

 Ligi kuu ya Uingereza

Crystal Palace vs Nottingham Forest – Crystal Palace atashinda au sare.

Ubashiri huu una Odds 1.33

 Sababu

 Nottingham Forest wako nafasi ya 6 ya ligi kuu na Crystal Palace wako nafasi ya 12. Lakini ngome ya Nottingham Forest ni kama mlenda. Na jinsi ambavyo, Crystal Palace, alimsambaratisha Aston villa sina shaka atashinda tu.

Sare nimeiongeza kwa sababu za kihistoria tu lakini kiwango cha Crystal Palace sasa hivi ni balaa na hawa Nottingham Forest pamoja na kuota kucheza ligi za ulaya hawana ubavu wa kushinda mechi hii.

Brazili ligi kuu.

Cruzeiro vs Flamengo – Flamengo atashinda au sare.

Ubashiri huu una Odds 1.20

Sababu

Cruzeiro ameshinda mechi 4 kati ya 5 alizocheza nyumbani hivi karibuni kwa hiyo anaweza kulazimisha sare ila hawezi kushinda.

 Ligi kuu ya Israel 

Maccabi Tel Aviv vs Hapoel Beer Sheva – Maccabi Tel Aviv kufunga angalau bao moja

Ubashiri huu una Odds 1.22

Sababu

Mechi hii ina harufu kali ya mabao mengi lakini historia inasema Maccabi Tel Aviv atapata bao kwa hiyo tunampa hilo bao moja.

Ligi kuu ya Colombia.

Rionegro vs Pereira – Pereira atashinda au sare.

 Ubashiri huu una Odds 1.48

 Sababu

 Pereira wako mahali yake hivyo tunatarajia watashinda lakini historia yao ni sare ndiyo maana tumewapa Pereira ushindi au sare

Union Magdalena vs Once Caldas – Once Caldas watashinda au sare.

Sababu

Union Magdalena wako nafasi ya 18 kati ya 20 ya ligi. Pereira wako nafasi ya 12. Union Magdalena watapambana lakini hawajiamini kuibuka kidedea.

 Independiente vs Atletico National – Independiente U2.5.

 Ubashiri huu una Odds 1.10

 Sababu

Independiente hana hulka ya kufunga mabao mengi ndiyo maana tumempa U2.5

 Ligi kuu ya Mexico.

 Monterrey vs UNAM PUMAS – Monterrey kufunga bao

 Ubashiri huu una Odds 1.24

Sababu

Historia inambeba Monterrey kufunga angalau bao moja. Mechi hii nani atashinda ni kizungumkuti. Kwa hiyo, tunawapa wenyeji wacheke na nyavu angalau mara moja.

 Ligi kuu ya Urusi.

 Krylya Sovetov vs Dinamo Moscow – Krylya Sovetov kupata bao angalau bao moja.

 Ubashiri huu una Odds 1.27

 Sababu

 Hapa ni mabao ya kutosha kwa pande zote mbili. Hivyo, kumpa Krylya Sovetov bao moja inalipa vizuri tu.

 Ligi kuu ya Uturuki.

 Kasimpasa vs Trabzonspor – Kasimpasa kufunga goli!

Ubashiri huu una Odds 1.23

Sababu

 Trabzonspor tunawatarajia washinde maana mechi yao ya mwisho kwenye uwanja huu watakaocheza walibuka kidedea tanonkwa moja.

Lakini Kasimpasa mechi zake nne za hivi karibuni uwanjani kwake kafunga mabao 9 na baadhi ya hizo mechi zinajumuisha vinara wa ligi Galatasaray ambapo walitoa sare ya tatu kwa tatu. Pia walitoa sare na Besiktas moja kwa moja. Besiktas wako nafasi ya nne kwenye ligi.

Sasa hawa Trabzonspor hawana ubavu wa kushinda bila ya kufungwa hata kabao kamoja hivi.

 Ligi kuu ya Romania

 FCSB vs Dinamo Bucuresti – FCSB kupata angalau bao moja.

Ubashiri huu una Odds 1.14

Sababu

 Dinamo Bucuresti anaweza kulazimisha sare ya moja kwa moja ndiyo maana tumempa FCSB angalau bao moja 

Ligi kuu ya Chile.

 Audax Italiano vs Deportes Serena – Audax Italiano kupata angalau bao moja!

Ubashiri huu una Odds 1.20

 Sababu

Audax Italiano anafunga mabao kibao hivyo kumpa bao moja inalipa sana.

Nublense vs Union Calera – Union Calera U2.5

 Ubashiri huu una Odds 1.05

 Sababu

 Union Calera  alishinda mechi kati yao kwenye uwanja huu huu tatizo mechi za ugenini amekuwa hafungi magoli ndiyo maana tumempa U2.5. Zaidi ya hapo, Nublense, mechi za nyumbani katoa sare mechi 5 na kushinda moja. Na mechi zote hizo sita hakuna timu ilimfunga zaidi ya bao moja.

Kwa hiyo, kumpa Union Calera U2.5 ina mashiko tosheleza.

 Ligi kuu ya Marekani.

 Sporting Kansas City vs Los Angeles, – O 1.5

 Ubashiri huu una Odds 1.18

 Sababu

 Hii mechi ni mabao kwenda mbele mara ya mwisho kwenye uwanja huu huu yalifungwa jumla ya mabao 5 lila timu ikicheka na nyavu.

 Ligi kuu ya Uruguay

 Club Nacional vs Sportivo Ameliano – Sportivo Ameliano + 2G

 Ubashiri huu una Odds 1.19

 Sababu

 Hizi timu mbili mara ya mwisho hawakufungana na zinaonekana kulingana kiwango. Tunawapa Sportivo Ameliano ushindi kwa kuwaongezea mabao mawili. Soko hilo liko poa kabisa.

 Ligi daraja la pili la Hispania

 Castellon vs Gijon – Castellon atashinda au sare.

 Ubashiri huu una Odds 1.22

 Sababu

 Castellon yuko vizuri zaidi ya Gijon

Leave A Reply

Exit mobile version