Browsing: riwaya za kusoma mtandaoni

Mzee Shayo alikuwa ameketi katika kiti chake huku akitingisha  mguu wake ambao ulikuwa ndani ya kiatu cheusi chenye kung’aa  sana. Mbele yake kulikuwa na picha halisi…

Ilipoishia Mama Niachie Mume Wangu Sehemu Ya Saba Vishindo vya miguu vilikoma kwenye mlango wa Chumba nilichopo  kisha funguo ilianza kufungua kitasa taratibu, nilifumba  macho yangu…

Niliomba niletewe Binti yangu pale Gerezani, Mama Sofia  alimleta Moyo. Nilimkumbatia Mwanangu hadi nikahisi faraja  iliyo pitiliza.  “Umeongea na Wakili vizuri?” aliniuliza Mama Sofia,  nilimtazama na…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 06 Nilikua nikihema, Wazazi wangu walikua wamesimama vile vile kama Watu wasiojitambua.  Yule Bibi aliendelea kunisogelea huku mguu wake mmoja akiwa…

Ilipoishia Nyumba Juu Ya Kaburi 04 “Unamkumbuka Zena?” nilimuuliza, alionekana kutafakari kidogo kisha akaniuliza “Yule rafiki yako?”  “Ndiyo!”  “Kimetokea nini?” aliniuliza kwa shahuku kubwa sana, sura…