1) Ligi Kuu ya Korea ya Kusini.

a) Jeju vs Gangwon – Jeju atapata bao

Ubashiri huu una Odds 1.26

Sababu.
Mechi 3 za nyumbani alizocheza Jeju alishinda 2 na kufungwa moja. Mechi yake ya mwisho alimfunga Pohang Steelers mabao 2 nunge. Hii imeonyesha uwezo wake wa kucheka na nyavu.
Gangwon alishinda mbili moja dhidi ya Jeju tatizo alilazimishwa sare ma Suwon nyumbani kwake hata kushindwa kufunga bao hata moja.

b) Daejon Motors vs Daejon Citizen – Daejon Citizen atapata bao
Ubashiri huu una Odds 1.40

Sababu.
Mechi ya mwisho kati ya hizi timu mbili Daejon Citizen alishinda mabao mawili bila. Daejon amekuwa akipachika mabao hivyo watafungana. Kumpa Daejon bao moja yamkini ni kubwa.

 

c) Suwon va Daegu – Suwon kupata bao
Ubashiri huu una Odds 1.21

Sababu.
Historia inawabeba Suwon kupata bao pia kiwango kipo vizuri.

d) FC Anyang vs FC seoul – FC Seoul kushinda au sare

Ubashiri huu una Odds 1.25

Sababu.

FC Anyang amekuwa akifunga timu dhaifu lakini alikutana na timu za viwango hafungi hii sababu tosha ya kuona atafungwa au atatoa sare.

2) Ligi ya Argentina PRIMERA B

a) Sacachispa vs Midland – Midland kushinda au sare.

Ubashiri huu una Odds 1.25

Sababu.

Pamoja na Sacachispa alishinda bao moja bila kwenye uwanja huu wa nyumbani kwake lakini nafasi yake ya ligi ya 20 kati ya 21 wakati Midland anaongoza ligi

Hii sababu inatosha kuwapa Midland ushindi au sare.

3) Ligi ya Mabingwa wa Ulaya.

a) Inter Milan vs Barcelona – Inter kufungwa au sare.

Ubashiri huu una Odds 1.40

Sababu.

Inter wamepoteza mechi nyingi za nyumbani ikiwemo cha kipigo dhidi ya AC Milan mabao matatu bila na kufungwa na Roma bao moja bila.

Barcelona naye mechi za ugenini anasuasua mechi hii sare inanukia zaidi infawaje uzoefu wa Barcelona kwenye mashindano haya unanilazimu kuona wananaweza pia kutoboa.

4) Ligi Kuu ya Brazili

a) Bragantino vs Mirassol – Bragantino atashinda au sare.

Ubashiri huu una Odds 1.22

Sababu.

Bragantino yuko juu sana ndiyo maana tunampa ushindi au sare. Mara ya mwisho alishinda uwanja huu huu wa nyumbani tatu mtungi.

b) Juventude vs Atletico Mineiro – O1.5

Ubashiri huu una Odds 1.39

Sababu

Timu zote zina uwezo wa kucheka na nyavu na mara ya mwisho walitoka suluhu ya moja kwa moja.

5) Ligi ya Brazili SERIE B

a) Goias vs Avai – Goias U2.5

Ubashiri huu una Odds 1.13

Sababu

Goais amekuwa hacheki na nyavu hivi karibuni ndiyo maana tumempa U2.5 pamoja mechi ya mwisho nyumbani alishinda mbilinkwa moja.

6) Ligi Kuu ya Afrika ya Kusini.

a) Golden Arrows vs Orlando Pirates – Orlando Pirates atashinda + O 1.5

Ubashiri huu una Odds 2.09

Sababu

Golden Arrows wamekuwa kichochoro cha magoli ndiyo maana tunamtabiria afungwe magoli mawili au zaidi.

.
7) Ligi Kuu ya Algeria

a) CS Constantine vs MC Oran – CS Constantine atashinda

Ubashiri huu una Odds 2.09

Sababu

Golden Arrows wamekuwa kichochoro cha magoli ndiyo maana tunamtabiria afungwe magoli mawili au zaidi.

8) Ligi Kuu ya Misri.

a) Smouha vs El Gaish – O- 0.5

Ubashiri huu una Odds 1.08

Sababu

Kuna bao angalau moja hapo

9) Ligi Kuu ya Colombia

a) Chico vs Envigado – Chico U1.5

Ubashiri huu una Odds 1.38

Sababu

Chico hana uwezo wa kufunga mabao.

10) Ligi B ya Colombia

a) Leones vs Jagueres – Jagueres kushinda au sare.

Ubashiri huu una Odds 1.23

Sababu

Kiwango pamoja na Leones kushinda mechi ya awali kwenye uwanja huu huu wa nyumbani.

b) Huila vs Patriotas – Huila kushinda au sare

Ubashiri huu una Odds 1.29

Sababu

Kiwango ma historia ndivyo vigezo.

11) Ligi Kuu ya Uchina.

a) Meizho Haka vs Shangai shenhua – timu zote kufunga goli.

Ubashiri huu una Odds 1.49

Sababu

Timu zote mbili zina uwezo wa kufunha mabao.

12) Ligi Argentina ya PRIMERA NACIONAL

a) Agropecuriao vs Central Norte Salta – Agropecuriao atashinda

Ubashiri huu una Odds 1.86

Sababu

Uzoefu na historia iko upande wa Agropecuriao

b) Nuevo Chicago vs Estudiantes – Nuevo Chicago atashinda au sare.

Ubashiri huu una Odds 1.35

Sababu

Kiwango, uzoefu na historia iko upande wa Nuevo Chicago.

c) Defensores De Belgano vs Atletico Mitre – U2.5

Ubashiri huu una Odds 1.27

Sababu

Mechi yao ya mwisho kwenye uwanja huu huu walitoka suluhu ya bila kufungana sioni kama wanaweza kufungana mabao matatu ma kuuchana huu mkeka.

 

13) Ligi Kuu ya Paraguay

a) General Caballero vs Sportivo Trinidense – General Caballero U1.5

Ubashiri huu una Odds 1.34

Sababu

Pamoja na mechi ya mwisho General Caballero alishinda mabao mawili kwa moja lakini mechi 6 mfululizo nyumbani kwake kashindwa kupata bao ndiyo maana tumempa U1.5.

14) Ligi ya Paraguay daraja la pili.

a) Sol De America vs Resistencia – Sol De America kupata bao

Ubashiri huu una Odds 1.31

Sababu

Sol De America yuko chini kwenye ligi na ameanza kuonyesha uwezo wa kufunga baada ya kuwafunga timu ambazo zipo kwenye orodha ya kumi bora kwenye ligi.

15) Finland F.A Cup

a) EIF vs Inter Turku – O2.5

Ubashiri huu hauna soko Betpawa

Sababu

Timu zote wanafunga mabao na mechi ya mwisho kati ya hizi timu mbili walifungana mabao 8 jumla kwa hiyo O2.5 inalipa.

 

Leave A Reply

Exit mobile version